Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi

Kwaiyo unatakaje???

Acha kutishia watu Simba Wa kuchora wewe usikosolewe we Mungu ???
 
Nchi ipo mikononi mwa Washamba na Malimbukeni, nani atafikiria hayo!!!!

Kuongoza ni kutumia akili na maarifa wala sio nguvu na vitisho.
hawezi maana hakulelewa hivyo yupo machenic jamaa uongozi umemshinda kabisa we unatukana mkuu wako wa mkoa mbele ya taifa zima pumbavu unaita IGP hana uwezo mbele ya taifa unawaita mawaziri wapumbavu halafu analalamika anapingwa kwa sabau ameachiya mwanya wa serikali yake kudharauliwa
 
Nimetimiza wajibu wangu kama mtanzania, kitakachomtokea tusije sema hatukukumbushana. Hii ni vita ya uchumi
Acha ujinga wewe mchumia tumbo wa Lumumba.

Tatizo ni huyo mkosoaji au ninyi?

Mngekuwa sahihi kwenye takwimu zenu mngekosolewa?

Tutaendelea kuwakosoa hadi mtumalize wote mubaki ninyi wapiga vigelele kwa Mungu wenu anayepumua kama ninyi!!
 
Magufuli mwenyewe anapika taarifa kila siku jana ikulu yake wamesema tutalipwa dola biliioni 700
Mpika taarifa mkubwa ni yeye mwenyewe.

Wakati alivyosukumiwa Urais sukari ilikuwa Tshs 5000 per kg.

Je ni kweli?

Au si yeye ndiyo alituambia hiki kitu?
 
[emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]
 
Tuelekeapo ni pazuri sema sisi abiria ndio tunafanya safari iwe salama au yahatari
Dereva alisema yeye hapangiwi na Lori limemshinda linaenda mrama limeacha njia na kuelekea kwenye makorongo, sisi abiria tunampigia kelele ili ajitathmini na hii sintofahamu halafu unasema ndio tunafanya safari iwe ya hatari!!

Hapo umechemsha mkuu
 
KAMA UNAMAANISHA ZZK NIKUKUMBUSHE MKWARA WAKE KUWA, ATAKAYEMDHURU BAS UKOO WAKE UTATEKETEA.

USICHEZE NA WAKONGOMANI WE JAMAA.. UTAOMBA POO! WEWE UNAWEZA UKAJIHAMI, NDUGU ZAKO JE?
Ingekua nguvu hizo za giza ni tegemezi kweli kwake basi hii leo angeambulia hata uwenyekiti wa chadema lakini walimfukuza
Na ATC wenzie wanamkimbia
Labda mvuto tu wamabibi ndo umebakia kwake
 
Wadau,

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Aiser,sijui kama nimekuelewa. Kauli hii ni nzito sana ukiitafakari kwa kina.

Sitaki kuamini haya,lakini kama ni kweli.....basi hali si shawari.
 
aende zake asikosolewe yeye nani lakini? apambane na anachokiamini ila ajue Tanzania ni nchi na c familia yake
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi

Kwani hyo serikali ya ma lusipher haiwezi kupika takwimu kujifagilia ee,acha ujinga
 
ha ha ha h
Huyo JPM kwani yeye hana ndugu? Na yupo tayari kwao hata panya asiguse? Huyu alishasema yeyote atakayehusika na kifo chake hata panya hawatabaki kwao. Ni kufa ukoo mzima. Kama anajiamini JPM amfanyizie mtu huyo.
a ha ha ha ha ha ha ule ulikua mkwara tu da ila nakumbuka ilim cost mudhihiri mudhihili
 
Ushamba na ulimbukeni wa madaraka unawasumbua ila mwisho wa siku kaburini wataingia
 
Sijui ARV imetoka wapi kwenye hii thread. Lakini heri yule anayetambua amenasa pabaya akatafuta njia ya kujinasua kuliko asiye kubaliana na ukweli na kufuata shauri wa wataalamu anabaki akijipa matumaini feki huku akisambaza kirusi kila mahali.
Tumia data za kweli kuikosoa serikali...
"kati ya bavicha 100 basi 67 wanameza ARV" hii data ni kutoka gazeti pendwa!!na sisi tukashangilia
 
Ndugu yangu mimi sio mwana CCM, isipokuwa natambua kuwa ni wajibu wetu kuikosoa serikali kwa staha..sio kwa lengo la kupotosha. Magufuli hatanii jaman...
Kwani sisi ndo tunatania peleka uoga wako huko magufuli ndo source ya tanzania ilivyo sasa we have to fight back
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Sanduku la KURA litakalosimamiwa na KAILIMA!!
 
Back
Top Bottom