Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi

Kuna mtu amemshika mkono au kumzuia asifanye kazi zake??
 
Mkuu bila shaka wewe mwenzetu unaishi LALA LAND,hakuna chaguzi za haki za kumchagua rais ndani ya nchi yetu,labda itatokea in 5th generations sio hii ya watu waoga ,wanafiki ,wachumia tumbo iam sorry mtoa hoja nawe nakuweka kwenye kundi hili.
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
zitto???
 
1.Kansa ya upotoshaji takwimu anayeiongoza ni Magufuli.

2. Kuna watu hawaogopi kutishiwa nyau, washajilipua kama Mange Kimambi.

3. Uzalendo si kutetea upotoshaji wa takwimu, ni kukemea upotoshaji huu.

4. Abiria wakiona dereva anapeleka gari katika korongo kuliangusha hawatakiwi kumpa muda, wanatakiwa kumkaripia abadili muelekeo au kumtoa katika usukani.

5. Box la kura Tanzania halina utepe wa kulihusisha na msema kweli, watu wamelichezea tangu Idris Abdul Wakil anapewa urais wa Zanzibar alioshindwa, japo alipambanishwa na kivuli.
 
Rekebisha kauli ya paragraph ya mwisho, "msema kweli ni Policcm na tume ya uchaguzi tawi la CCM 2020"
Umesema kweli mkuu. Kuna kiongozi mmoja wa nchi za kikomunisti aliwahi kusema kuwa wapiga kura na wahesabu kura hawana uzito wowote, bali uzito uko kwa mtangaza matokeo. Kwa hiyo ni ndoto kufikiri kuwa eti sanduku la kura laweza kuamua nani awe rais wa nchi hii. Hili huamuliwa na mtangaza matokeo yaani tume ya uchaguzi.
 
Jifunzeni tu kukaa kimya,maana haya madomo yataponza kichwa.
Nchi ikiwa na watu wenye akili kama yako haiendelei kamwe,ni kwamba kuwa madarakani hakukufanyi uwe kama malaika au MUNGU kwamba hukosei.
sasa unataka watu wajifunze kukaa kimya wakati watu wanahangaika kuwafundisha hata watoto wadogo wasikae kimya wanapofanyiwa ubaya!
MWANAO mdogo akibakwa na mtu mzima wewe utamfundisha akae kimya au aseme?
 
Sasa kwa hali hii kati ya Zitto na serikali nani mwongo?
2017-10-23 11.05.57.png
 
Huyu raisi ni mnafiki saana, yeye ndo mwenye maamuzi ya mwisho, kwanini asiamuru wakamatwe hao anadai wamepokea fedha.
Kiongozi makini humpa anayemwongoza nafasi ya kujirekebisha
 
mmm sijakupata Mkuu au ni VITISHO vinavyoletwa kutokana na ukosefu wa haki na wajibu ?sasa mkuu hapa unamtahatharisha nani?serikali inaogopa nini kama wanaongoza nchi kwa kufuata utawala bora?na hawa W/blowers ni muhimu mno katika jamii.
Endelea kwa kujifariji kwa mtazamo wako huo. Lakini kumbuka Wajinga ndio waliwao[/BI]
 
Huyo JPM kwani yeye hana ndugu? Na yupo tayari kwao hata panya asiguse? Huyu alishasema yeyote atakayehusika na kifo chake hata panya hawatabaki kwao. Ni kufa ukoo mzima. Kama anajiamini JPM amfanyizie mtu huyo.

hana mkuu, believe me
 
KAMA UNAMAANISHA ZZK NIKUKUMBUSHE MKWARA WAKE KUWA, ATAKAYEMDHURU BAS UKOO WAKE UTATEKETEA.

USICHEZE NA WAKONGOMANI WE JAMAA.. UTAOMBA POO! WEWE UNAWEZA UKAJIHAMI, NDUGU ZAKO JE?
 
Zitto huyu huyu ambaye alidiriki kulala bungeni akiwaogopa polisi, na kutimkia nje ya nchi huku akisikilizia upepo!
 
Back
Top Bottom