Pumba tu,hakuna mwenye hakimiliki ya uhai wa mtu isipokuwa Mungu tu.Unaowaona wana maguvu Leo wanaweza kufa na kutangulia wakawaacha wanyonge wanakula maisha tu.Maccm mmekuwa wajinga sana na kudhani mnaweza kufanya chochote hapa duniani.Hii nchi sio Mali ya mtu binafsiNimetimiza wajibu wangu kama mtanzania, kitakachomtokea tusije sema hatukukumbushana. Hii ni vita ya uchumi
Yani awamu hii ni kama tuko kanisani. Kazi yetu ni kupiga makofi tu, mhubiri hapaswi kuulizwa swali. AmenWadau,
Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......
Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...
Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.
Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.
Wenu
Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Tuelekeapo ni pazuri sema sisi abiria ndio tunafanya safari iwe salama au yahatariMmmmh
Huko tunakoelekea siyo jamani!!!
Sasa kama walipewa hela na rais anajua, ni kwanini asiamuru vyombo husika vifanye kazi yake. Kama nikweli, huo nisawa na uhujumu uchumi. Sasa baba analalamika, sisi watoto tutafanyaje?Sio mara ya kwanza kwa Mh Rais kusema kuwa kuna watu walichukua fedha ili kusaidia upande wa wezi wa rasilimali zetu...leo hii tena ameonya juu ya wanaopiga kelele ili kuwaridhisha waliomhonga anawafahamu.
Pumba tu,hakuna mwenye hakimiliki ya uhai wa mtu isipokuwa Mungu tu.Unaowaona wana maguvu Leo wanaweza kufa na kutangulia wakawaacha wanyonge wanakula maisha tu.Maccm mmekuwa wajinga sana na kudhani mnaweza kufanya chochote hapa duniani.Hii nchi sio Mali ya mtu binafsi
Sasa kama walipewa hela na rais anajua, ni kwanini asiamuru vyombo husika vifanye kazi yake. Kama nikweli, huo nisawa na uhujumu uchumi. Sasa baba analalamika, sisi watoto tutafanyaje?
Wapi?Mmmmh
Huko tunakoelekea siyo jamani!!!
Do you think ccm itatoka ikulu kwa njia ya kura?? Katiba iko positive kwao ,tume ya uchaguzi niyakwao,, forget that brooWadau,
Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......
Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...
Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.
Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.
Wenu
Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Mmejipa mamlaka ya kuhukumu sio,ipo siku haki itasimamaNimetimiza wajibu wangu kama mtanzania, kitakachomtokea tusije sema hatukukumbushana. Hii ni vita ya uchumi
Napita tu maana huku sipigagi story isipokuwa mapovu na full stress!!!!Nasomaga tuu.. Si unajua huku hali ya hewa ikichafuka venye inakuwa eeeh!!!!
Nchi ipo mikononi mwa Washamba na Malimbukeni, nani atafikiria hayo!!!!Ishu nionayo hapa ni kutokuwepo na uwazi kuwe na taarifa za kila mwezi za makusanyo na utendaji kama ilivokuwa zamani ili MTU akipotosha watu wanapuuza sababu wanakuwa tayari wana taarifa, uvumi usipojibiwa uonekana ni kweli.