Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Sipendi Serikali Inayofanya Watu Wake Waish Kwa Hofu,hata Km Ukikosolewa Jitokeze Ujibu Utaeleweka Tu Kwa Matendo Yako,unahofu Nn Wakati Ww Ndyo Ulioshikilia Kisu Kikali?Serikali Iache Uoga
..Ziti..o Ni mpotoshaji,..
 
Mimi nilicheka mkulu aliposema eti kama mapato yanashuka mbona tumetangaza tender za kujenga reli toka morogoro mpaka makutopora na mradi wa stiegler gorge? Hivi anatuona hatuelewi sana kwamba unapotangaza tender, mtaka tenda ndio anatoa hela, lakini kutoa go ahead ndio shughuli. Au mkuu anasahau kwamba kuna makandarasi wengi wamefanya kazi na bado wanadai?
 
Mimi nilicheka mkulu aliposema eti kama mapato yanashuka mbona tumetangaza tender za kujenga reli toka morogoro mpaka makutopora na mradi wa stiegler gorge? Hivi anatuona hatuelewi sana kwamba unapotangaza tender, mtaka tenda ndio anatoa hela, lakini kutoa go ahead ndio shughuli. Au mkuu anasahau kwamba kuna makandarasi wengi wamefanya kazi na bado wanadai?
Mag yupo desperate
 
..Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Hivi mtu unapata uwezo wa kusema ati hakuna serikali duniani!! Kwa kuwa akili zako zinaishia Kimara Mwisho, basi unafikiri kinachoendelea Tanzania ndiyo blueprint ya nchi zote duniani. Mara nyingi watu wanaotoa such sweeping statements ni watu wasio na maarifa na uelewa mpana.
 
Tunahitaji kizazi jeuri, chenye uwezo wa kuhoji sio kizazi cha kina ndio Mzee.
Kabisa chifu. Nawashangaa sana watu akiwemo na Magufuli wanaosema ati watanzania ni walalamishi na wakosoaji sana. Yaani hata asilimia 5 hawafiki ya hawa walalamishi na wakosoaji. Inapaswa angalau iwe kati ya asilimia 20 hadi 30! Hapa ndipo viongozi watakuwa na akili za kukaa mguu pande!
 
Usiwape sababu watu wasiojulikana kama ni kauli walioisikia wamesikia! Kosa la kupotosha takwimu adhabu yaweza kuwa kifungo miaka 2 na siyo hiyo 18.
Kwanza hiyo kubadilisha au kupotosha takwimu ni lazima ujue tafsiri ya mahakama. Nadhani kilichokusudiwa ni wewe kuwa na takwimu halafu unabadilisha. Nikisema uchumi sasa hivi umedorora, nimepotosha takwimu gani? Nikisema sasa hivi mapato ya serikali yameshuka, nimepotosha takwimu gani? Maana kushuka kwa mapato au uchumi hakutafsiriwi kwa absolute numbers tu.

Mapato inawezekana mwakajuzi yalikuwa bilioni 800, na sasa yakawa bilioni 900 lakini kiuhalisia yakawa yameshuka nikilinganisha na factors nyingine kama ongezeko la watu, ongezeko la vyanzo vya kodi, n.k. Si kitu rahisi kumpata mtu na hatia kama ivyotamkwa.
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...


Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Zitto,take care.You are going too far.
 
Jaman mlio karibu nae mwambieni keshaingia 18 bado kunasa tu. Muda saa yoyote mtego unafyatuliwa
 
Back
Top Bottom