kwa hiyo mtu wako kazi yake imekuwa kutushia watu na wewe kaxi yako kukithibitisha kitisho sio?Wadau,
Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......
Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...
Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.
Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.
Wenu
Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Bashite anatembea na wanyarwanda 20?dat a zipi za uongo Tanzania daima wamekili kwa sababu hata wananchi wengi jana tuliuliza hiyo habari lakini Msigwa kwa barua aliyoisaini jana kutoka ikulu kasema Avccacia watalipa bilioni 700 ikatawanywa kwa vyombo vya habari leo akarekebisha sasa hizo data zilikuwa za ukweli Zitto anaongea fact Magufuli anataka kufanya mauaji mengine chini ya serikali yake na bashite unakuja kutamba ndio hicho kikosi cha wanyarwanda 20 unachotembea nacho kinakupa kiburi unakuja kwenye public domain kukili kwamba munauwa watu
ha ha watanzania wangemlizia mbali wapo kwenye payrole kwa fedha za walipa kodiBashite anatembea na wanyarwanda 20?
Duuu!
Kwahiyo Rwanda ni zaidi ya Tz?
Nchi ikiwa na watu wenye akili kama yako haiendelei kamwe,ni kwamba kuwa madarakani hakukufanyi uwe kama malaika au MUNGU kwamba hukosei.
sasa unataka watu wajifunze kukaa kimya wakati watu wanahangaika kuwafundisha hata watoto wadogo wasikae kimya wanapofanyiwa ubaya!
MWANAO mdogo akibakwa na mtu mzima wewe utamfundisha akae kimya au aseme?
ha ha ndio mission on town ya bashiteBashite anatembea na wanyarwanda 20?
Duuu!
Kwahiyo Rwanda ni zaidi ya Tz?
Auwe watanzania wote wanaompinga abaki na wale wajinga wake wanaompigia makofi na ndugu zake wanyarwandaNi lazima tu akosolowe na uongo wake na utendaji mbovu uliojaa chuki na vitisho atake asitake. Ataua Watanzania wangapi!?
Hahahahahaha ha ndio mission on town ya bashite
Acha ujinga na vitisho visivyo na maana.Msikosolewe nyie mmekuwa miungu watu? PambafuWadau,
Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......
Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...
Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.
Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.
Wenu
Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Nimetimiza wajibu wangu kama mtanzania, kitakachomtokea tusije sema hatukukumbushana. Hii ni vita ya uchumiAcha ujinga na vitisho visivyo na maana.Msikosolewe nyie mmekuwa miungu watu? Pambafu
Acha ujinga wewe nzi wa kijaniJifunzeni tu kukaa kimya,maana haya madomo yataponza kichwa.
Magufuli mwenyewe anapika taarifa kila siku jana ikulu yake wamesema tutalipwa dola biliioni 700Ila umemshauri vizuri kwaiyo kazi kwake kusuka au kunyoa
Na wengine lile gazeti lililotoa takwimu za kupikwa.