Umemuelewa lakini alichomaanisha?Haiwezekani lazima anatumia makalio kama Sizonje.
Kauli zake zinakera sanaHuwezi kuona watoto wako wanakufa njaa uwaambie kufeni tu ni mzazi wa aina gani huyu??Mvua zimechelewa sana na maeneo mengine walilima wakapanda mvua zikakata kabla ya muda mazao yao yamekauka unategemea hata mbegu wanazo??
Nilitegemea angekuwa na utu wa kuwapa Mbegu hao wakulima na chakula cha kuwatosheleza kusubiria mazao yao.
Hata yeye anapata chakula kutoka kwa hao hao wakulima wa jembe la mkono.
Ni mpumbavu peke yake atakubaliana na hizo hotuba za Magufuli.HAzina Hekima,Heshima wala Busara kwa sisi RAIA,anafikiri miaka yote hiyo tulikuwa tunalishwa na serikali??
Kauli zake zinakera sana
Very wrong. Toka ameingia CCM imeshinda kila uchaguzi. Utabiri wako utakuwa kinyume!Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.
Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.
Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.
Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake.
Time will tell.
Sasa kama anaiua ccm wewe kinakuuma nini?si ufurahie kwa kukaa kimya ungoje ccm ife?unavyopiga kelele unastua tufanye mabadiliko ili ufaidike na kuondoka kwake au ufaidike na ccm kuimarika?Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.

Yote hayo ni ili aendelee kujisahau na kuharibu zaidi.Mungu anaona mbali sio kama mwanadamu.Very wrong. Toka ameingia CCM imeshinda kila uchaguzi. Utabiri wako utakuwa kinyume!
Kwa faida gani huku nchi ikiendelea kuwa taabani !!Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
Tangu lini wewe ukaionea huruma CCM?,kama inakufa si ushangilie inakupa unafuu wewe?Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.
Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.
Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.
Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake na njia nyingine huwa ni chungu zeenye taabu na mateso mengi kama tunavyoshuhudia sasa katika nyakati hizi za mpito.
Time will tell.
Hayo yote ni mpango wa Mungu ili aendelee kujisahau na kuongeza kiburi.Inahitaji kutafakari kujua ukweli huu.Kamanda salary slip endelea kuota mchana hivyo hivyo, hata matokeo ya chaguzi ndogo majuzi ccm kata 20 ukawa kata 1 ni ushahidi tosha wa ndoto yako!
Watajipanga saa ngapi kuchukua nchi badala ya kujenga chama wanashinda mahakamani kwa makesi lukuki ya kujitakia?,watakuja shutka kumekucha waanze kulia wameibiwa kuraKwa hiyo kama ccm inkufa wapinzani mnajipangaje kuchukua nchi.?