e nkwasi
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 381
- 283
Napata maono ya vikosi vyote vya jeshi kuranda mitaani, vijana kuwekewa vikwazo vya kupiga kura, wazee na mahajuza kufatwa na usafiri kwenda kupiga kura, na mwisho baadhi ya wagombea wa upinzani kufikishwa mahakamani kwa tuhuma zisizo na mashiko. Tuombe uzima.
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima