Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

Tatizo anatapata nguvu ya kabila lake. Ni mkabila sana huyu mpuuzi
 
Sizonje na bashite ni majanga kwa nchi hii.
Niliwahi kusema kitu kama hiki ila ule uzi (niliochangia) uliondolewa hewani kwa kasi ya mwanga... Wacha kife maana ndio kimechangia kudumaza uchumi wa nchi hii!
 
Kwa upande wangu naona Mbowe ndiye anayeua chama kwa tamaa zake za kimwili
If wishes were horses, beggars would ride...

Jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe..

Hayo ni matamanio yake tu..Anatamani CCM ife ingawa anajua haiwezekani..

CCM imeanza kutabiriwa kufa tangu 1995 lakini bado inadunda tu..

Ukimwambia CCM inawagaragaza 2020 anaanza kulialia na Tume huru ya uchaguzi...Ilhali Tume hiyohiyo anayodai si huru ndo imemtangazia ushindi wabunge wengi tu wa chama chake..
 
Naenda njia ya msalaba, kwenye maombi yangu naomba mungu atusaidie kwa kumbukumbu za kifo cha Bwana Wetu Yesu, Viongozi wote wenye chuki na raia na wenye kutumia madaraka yao kunyanyasa raia awalaze mahali panapostahili hasa kwenye jehanamu ya milele.
 
Acha ife ni laana tu katika nchi kuwa na dubwana liitwalo ccm
 
Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.

Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.

Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.

Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.

Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake.

Time will tell.
Nazani wewe unaandika kutokana na unayosoma humu kwenye mitandao, nenda kwenye jamii huko, utaona vitu anavyofanya magufuli, nyie kuweni busy mahakamani na kwenye mitandao mwisho wa siku mtasema mmeibiwa.
Kazi anayofanya magufuli haijawahi tokea, na akibahatika kupata hela hadi 2020 upinzani hamtaenda tena kwa wananchi. Acheni kushinda humu tafuteni mbinu mpya.
 
kwetu ni Shangwe ata akianza kuondoka yy
 
Nashangaa wachunga ngombe wanaongoza taifa
 
chawema mnatabu sana, maana mnajua kabisa kuwa hakuna chama kingine cha siasa haa nchini, vingine vyote ni saccos za watu na makundi mbali mbali ya kijamii!!
 
Back
Top Bottom