Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

Sio bure huyu jamaa nadhani akapimwe akili labda kuna msumari mmoja umefyatuka kwasababu matamshi yake na mambo anayofanya sio ya kawaida
 
Alishajisemea mapema sana akiwa majukwaani kwamba yy sio mwanasiasa hakuna cha ajabu hapo
 
Tafaut ya cCM na vyama vingne ni hii

CCM inaongozwa na mfumo mzma sio mtu mmoja

Vyama Vingne vinaongozwa na mtu mmoja...mfano chadema wanaongozwa na Mbowe

CUF zanzbar maalim seif

hawa viongoz wao ndio katiba wao ndio masahafu wakisema chochote Ndio Bwana wetu hakuna anayeweza kukipinga
 
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
Hahahaa
 
Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.

Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.

Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.

Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.

Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake na njia nyingine huwa ni chungu zeenye taabu na mateso mengi kama tunavyoshuhudia sasa katika nyakati hizi za mpito.

Time will tell.
Bandiko lako lina makosa kibao ya ukosefu wa ithibati, makosa ya kimantiki na limejaa dhahania kibao
 
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
Nyie ndio mnao mfaidi kwa kumremba remba kinafki

Na nyie ndio mnao watesa watanzania kwa njaa matumboni mwenu
 
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
Wazee wa goli la mkono
 
Uzuri anajua anachokifanya kinaumiza watu,na anajua majibu yake ndiyo sababu yuko nyuma ya upinzani kila dakika.

Tetty na Salary Slip naona mmeshupalia kueneza UONGO kuanzia Magufuli hadi Makonda
upload_2017-1-27_14-59-25.png

TANZANIA BUSINESS DEALERS
NB. Data za 2016 kipindi cha JPM hapo juu ni halisi, isipokuwa zimefanywa wastani wa quarter tatu (January - September), Q1, Q2, Q3, badala ya nne za miaka mingine.

Source: GDP per capita growth (annual %) | Data Posted by Joseph Mwaselela at 05:10
 
Baadhi ya watanzania Acheni kumsakama Rais anaposema ukweli,tumezoea kudanganywa. Mr President you cant please everyone kutokana na akili tofauti,itikadi tofauti,uelewa tofauti,tabia tofauti na mindset tofauti za watu unaowaongoza.endelea kusema ukweli taasisi ya uraisi ina intergrity na inaongozwa kwa kanuni thabiti.
 
Huwa nikizisikiliza napatwa na hasira kupita kiasi,halafu ndiyo huyu aliyesema naomba mnikosoe nitakapoteleza leo hataki hata kuguswa.CCM wametuletea balaa kubwa hawa majamaa
Yetu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom