Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.

Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.

Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.

Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.

Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake na njia nyingine huwa ni chungu zeenye taabu na mateso mengi kama tunavyoshuhudia sasa katika nyakati hizi za mpito.

Time will tell.

Kwa hiyo unasikitika kama CCM ikifa? Kwa maana umeandika kwa uchungu sana kana kwamba mtu ambaye ana kifo cha CCM kitamsononesha sana, au kuna kitu sijaelewa labda?
 
Huwezi kuona watoto wako wanakufa njaa uwaambie kufeni tu ni mzazi wa aina gani huyu??Mvua zimechelewa sana na maeneo mengine walilima wakapanda mvua zikakata kabla ya muda mazao yao yamekauka unategemea hata mbegu wanazo??

Nilitegemea angekuwa na utu wa kuwapa Mbegu hao wakulima na chakula cha kuwatosheleza kusubiria mazao yao.

Hata yeye anapata chakula kutoka kwa hao hao wakulima wa jembe la mkono.

Ni mpumbavu peke yake atakubaliana na hizo hotuba za Magufuli.HAzina Hekima,Heshima wala Busara kwa sisi RAIA,anafikiri miaka yote hiyo tulikuwa tunalishwa na serikali??

Hkuna watu wavivu kama watanzania na ndigu yangu soma historia. Uone taifa lililoendelea kwa kubembelezana. Na nakueleza sisis tunatawaliwa na mitandao hatuitawali ndo tatizo. We umeona umeongea kweli kumbe unajifariji. Ulitaka rais wa aina gani. Baada ya watu kuzoea mission town. Kama ndo unatafuta kiongozi wa aina yako basi sema huitaji maebdeleo ila nafasi ya kuiba.
 
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
Angalia kwa umakini mkubwa yanayosemwa na watu, mi mwenyewe ni kada lakini naona kuna mahali kuna matatizo na hatutakaa tuamini kitakachotukuta. Chukua reference hii kwa akiba kuna chama tawala huko mexico kilitawala zaidi ya miak 100 lakini kuna siku kilianguka na hakuna haliyeamini. Take note hatuendi vzr kabisa kabisa!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.

Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.

Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.

Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.

Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake na njia nyingine huwa ni chungu zeenye taabu na mateso mengi kama tunavyoshuhudia sasa katika nyakati hizi za mpito.

Time will tell.
Kwa mipango ya CCM inayotekelezwa mida hii kwa upinzani napata wasiwasi matokeo yatakuwa the opposite.
 
Kwa maslahi mapana ya taifa letu CCM inastahiki kabisa kufa ili tupate mwanzo mpya. Kwa hiyo yeyote awaye anayefanya juhudi zozote zile za kuua ccm, ni shujaa wangu
 
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
IPO siku utajua MUNGU anaishi na haonekani kwa macho ya nyama
 
Ina maana hivyo ndivyo unavyojadili hoja ya mleta mada? Uvivu wa kusoma na kufikiri ni uvivu mbaya kuliko uvivu wa aina nyingine yoyote chini ya jua!
Ni sawa na uvivu wa chadema kuuza sera
 
Mko gizani na mmekosa maarifa na zaidi mmeshindwa kuelewa matatizo ya msingi yanayogusa moja kwa moja maisha ya watanzania wengi wa kawaida.
Kipi kisichogusa maisha ya mwananchi katika hivyo nilivyotaja? Sasa hivi chadema akili yenu imeishia kwenye kubuni upuuzi.
 
Kama anadhani atafanikiwa kwa style hii,bwana huyu nampa pole sana na ajue tu yote haya yanayoendelea kwa sasa ni "kete turufu" kwa upinzani na ni cancer inayoua taratibu chama chake.

Kiukweli kadri siku zinavyokwenda ndivyo wengi wanagundua hafai na wengi wanaacha kumuunga mkono na mwisho wa siku atabaki na supprt ya kikundi kidogo sana cha watu wanaomuunga mkono na hawa watakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake na hata hao sio wote watakaokuwa wanafurahishwa na matendo yake bali ni katika kulinda tu vibarua vyao.

Yuko gizani na haoni kilicho mbele yake mpaka pale yatakapotimia kwakuwa hivi ndivyo ilivyopangwa kwamba kupitia yeye Taifa litakombolewe.

Usiniulize imeandikwa katika kitabu gani na ni katika mstari gani bali subiri kuona haya yakitimia.

Mungu ana makusudi na watu wake na ana njia nyingi anazotumia kufanikisha mipango yake kwa faida ya watu wake na njia nyingine huwa ni chungu zeenye taabu na mateso mengi kama tunavyoshuhudia sasa katika nyakati hizi za mpito.

Time will tell.
Wacha awasambaratishe
 
Halafu 2020 Magufuli atawagaragaza kwa kipigo cha mbwa mwizi mje tena hapa kulia lia kuwa mmeibiwa kura sisi hatuangalii sura hata agombee nani sisi ushindi tumezaliwa kushinda na si kushindwa iwe jua ama mvua ushindi lazima
Siwezi kushangaa kwa ujinga wa watanzania hasa wa vijijini hawajui chochote ndiyo maana watu wanaambiwa nyie wakulima uzeni mazao yenu bei kubwa pasipo kujua kwamba mazao yapo kwa wafanyabiashara nao kwa ujuha wanashangilia tu poor wa tz
 
Acha wapige umbea mtandaoni wenye akili walishajua kua upinzani ushapoteza mwelekeo mwisho wao 2020 jpm anachapa kazi nyie kutwa majungu
 
Back
Top Bottom