Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,272
Covid20
Si useme tu Corona? Ya nini kufichaficha muzeya!Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nipo kwenye sekta ya afya.
Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.
Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa
1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo
Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.
Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.
Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?
Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.
Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.
Hali ikoje huko kwenu?
Wewe si upo sekta ya afya sasa unatuuliza nini ambao ni wakulima wa nyanya, swali lako lijibu mwenyewe au nenda kwa bosi wako wa kitengo ukamuulize,huku unakokimbilia ni sehemu ya porojo tu,toka lini mitandao ya kijamii ikawa na majibu stahiki?acha ujinga bana,kaanze upya.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nipo kwenye sekta ya afya.
Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.
Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa
1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo
Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.
Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.
Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?
Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.
Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.
Hali ikoje huko kwenu?
Umetumia takwimu zipi na za muda gani kwa sample group ipi kugundua kwamba wanaougua mafua ni wengi zaidi katika kipindi hiki cha mwaka huu tofauti na kipindi hiki hiki cha miaka iliyopita?Kwamba muda wote nchi yetu ipo kwenye hii hali? Watu wengi wanasumbuliwa na mafua na kikohozi muda wote?
Sio kweli, hii ni present. Sema labda homa kama hiyo ilitokea same last yearHabari ya mwaka jana hii ila naona wadau wanatiririka kwa 'present tense'
Soma content ya jamaa kasema November 2019Sio kweli, hii ni present. Sema labda homa kama hiyo ilitokea same last year
Don’t take things too seriously......relax......relax......relax.......Sijui wanasonyaje kwa maandishi,nisingekuacha salama,hii nchi sijui kwa nini kuna wimbi kubwa la ongezeko la wagonjwa wa matatizo ya akili.
Kwa sababu wa Mitandao ya Jamii wana Jamhuri yao wa mitandaoni sio?!Wewe si upo sekta ya afya sasa unatuuliza nini ambao ni wakulima wa nyanya, swali lako lijibu mwenyewe au nenda kwa bosi wako wa kitengo ukamuulize,huku unakokimbilia ni sehemu ya porojo tu,toka lini mitandao ya kijamii ikawa na majibu stahiki?acha ujinga bana,kaanze upya.
Mnataka kusema TOYOTA Corona bado ipo !?
Umetumia takwimu zipi na za muda gani kwa sample group ipi kugundua kwamba wanaougua mafua ni wengi zaidi katika kipindi hiki cha mwaka huu tofauti na kipindi hiki hiki cha miaka iliyopita?
Miaka mingine huwa hivyo pia, labda tu imewakamata zaidi familia yako, hata mimi kuna kiaka mingine pia huwa familia yote kasoro mimi huwa wanakuwa na mafua, sasa tuache kujaza serverMaisha sio magumu kiasi hicho mzee...
Nimeshakwambia hapa tunapoongea familia yote kasoro mie wana mafua. Hapa watu wanasema kipindi hichi wanaumwa mafua na kikohozi...
Niache kufanya mambo ya msingi nijikite kwenye utafiti usioniingizia kipato?
Miaka mingine huwa hivyo pia, labda tu imewakamata zaidi familia yako, hata mimi kuna kiaka mingine pia huwa familia yote kasoro mimi huwa wanakuwa na mafua, sasa tuache kujaza server