Ni mwaka upi hapakutokea wimbi hasa mwishoni mwaka, tuanzie hapo. Maana takwimu zipo wizara ya afya, nendeni mkaone, then mtajua hii ni sawa na kusema mvua imenyehsa leo, halafu hiyo nayo iwe habari ya kuzungumziaMie naongea kwa hali ilivyo sasa hivi, unapoambiwa wimbi ni idadi kubwa ya watu kuwa na homa, mafua na kikohozi.
Hauoni ushuhuda wa raia wanaokwambia wanapitia hiyo hali sasa hivi?
Kwangu ukiachilia mimi, familia nzima wanamafua na kikohozi.
Lini katika nchi hii mafua na kikohozo vilisumbua wachache? Tuwe objective
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nipo kwenye sekta ya afya.
Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.
Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa
1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo
Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.
Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.
Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?
Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.
Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.
Hali ikoje huko kwenu?
Daah binafsi hii Hali imenikumba...juzi kuamkia jana mafua,kichwa na kooni kulijaa kama vidonda hivi...tafuna sana tangawizi Ila wapi ikadunda.
Jana jioni nikaingia pharmacy kununua dawa, Alhamdulillah nimeamka leo nahisi nafuu ...
Second wave ya Deportivo de Corona?Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nipo kwenye sekta ya afya.
Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.
hata mm nimekabwa na hayo mafua na maumivu ya kichwa. Ngoja nikajifukize kwanza.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nipo kwenye sekta ya afya.
Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.
Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa
1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo
Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.
Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.
Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?
Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.
Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.
Hali ikoje huko kwenu?
Kuna vidoge fulani hivi ndani vinachengachenga za rangi...na diclopa kwakweli vmenisaidia sanaNi dawa gani mkuu iyo hali hii hata mimi ninaipitia!!!!
hatarii mm koo km linawasha balaa hii leo siku ya tatu kido leo nimeamka afadhali baada ya kuanza kutumia dawa ila juzi jana sikulala kwa raha kabisaa..
Ni kweli unayoyasema.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi nipo kwenye sekta ya afya.
Kwa wiki tatu sasa kuanzia katikati ya November 2020 kumekuwa na mlipuko wa homa kali na mafua makali ambayo huambatana na kikohozi.
Kwa takwimu ndogo niliyochukua kutoka vituo mbalimbali vya afya ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa
1. Homa kali
2. Maumivu ya kichwa
3. Mafua makali
4. Mafindofindo
Ni wazi kuwa tunapitia katika kipindi kigumu cha magonjwa haya.
Wengi wa wagonjwa hupona katika kipindi cha siku nne mpaka 7.
Mmejiuliza pia sababu ya mlipuko huu?
Wagonjwa wengi wamepimwa malaria lakini hawana malaria.
Hivyo madaktari wengi wamewapa dawa za homa na kikohozi.
Hali ikoje huko kwenu?
Hatari sana.Hii kitu ni kweli. Nyumbani kuna watu watatu wanakohoa kikohozi kikavu siku ya 8 leo. Wamepima minyoo hawana ila wakapiga dozi 3 za kutibu minyoo, wamekunywa dawa za kikohozi chupa tatu syrups tofauti (Benylin, 4FLU na good morning) ila kikohoo kimedunda. Tena kikohozi chenyewe kinawakaba vibaya zaidi usiku.