Kuna vidoge fulani hivi ndani vinachengachenga za rangi...na diclopa kwakweli vmenisaidia sana
Sure hata mimi siugui mafua au tonsilitis miaka mingi mno. Na mpaka nilipoyapata nikajua tu kinga imeshambuliwa. Nilipambana kienyeji nikaimaliza tonsilitis ndani ya siku 3 diku ya 7 nikaanza mafua makali. Nayo nimeyapambania kienyeji nimeyakomesha.Binafsi huwa siugui mafua hivyo ila yamenipata kiasi kwamba najisikia mgonjwa kama malaria.
Nimekunywa dawa na si kawaida yangu,sasa najisikia nafuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Deportivo imereplay tena!
[emoji16][emoji16][emoji16]We acha tu cha kushangaza huu uzi ni wa mwaka jana lakini angalia ulivyovamiwa kama ni wa leo leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii inaonyesha ni kweli ugonjwa huu wa mafua makali unaendelea kwa kasi sana.
Mnataka kusema TOYOTA Corona bado ipo !?Imepata wachangiaji wengi kwa sababu hata sasa hivi hili tatizo lipo. Mafua na vikohozi vinasumbua wengi.
La Coruna, hahahaaDeportivo imereplay tena!
Basi kilichobakia apo ni Imani ya kuponya tu...Ok..kama ni hivyo ndivyo ninavyovitumia kwa sasa tena kama tulikwepo wote hapo pharmanc mpaka dicloper nimepewa
Hivi mnaosema hii habari ya mwaka jana wakati tupo tunaosumbuliwa na mafua mna maana ipi?Mbona hii habari ni kama ya mwaka jana?
"Katikati ya November 2019...."
Lengo lako ni nini?
Ameedit so tuliaHivi mnaosema hii habari ya mwaka jana wakati tupo tunaosumbuliwa na mafua mna maana ipi?
Na wewe ukapime harakaInawezekana ni COVID-19 kuna mshikaji tulikuwa tunapiga naye bia weekend hii alikuwa analalamika ameshindwa kusafiri kikazi kwenda South Africa maana amepimwa na kukutwa yupo positive ,ana vimafua tu vya hapa na pale na mwili umechoka tu kidogo, sasa jamaa kama huyo ataambukiza wangapi ? Mimi mwenyewe nilibanwa na hiyo kitu zamani kidogo
Hivi mnaosema hii habari ya mwaka jana wakati tupo tunaosumbuliwa na mafua mna maana ipi?
Sijui wanasonyaje kwa maandishi,nisingekuacha salama,hii nchi sijui kwa nini kuna wimbi kubwa la ongezeko la wagonjwa wa matatizo ya akili.Labda pengine ni silaha za kibaiolojia za mabeberu dhidi yetu kutokana na kasi ya ukuaji wa kiuchumi wa Taifa letu......
kwenye kiiingereza kuna neno moja linaandikwa hivi "Sarcasm"Sijui wanasonyaje kwa maandishi,nisingekuacha salama,hii nchi sijui kwa nini kuna wimbi kubwa la ongezeko la wagonjwa wa matatizo ya akili.