Kuna michepuko ni takataka kabisa

Naunga mkono
 
Mke wa deep akipata magonjwa ya zinaa,deep anamuita malaya na kesi juu kwa wazazi kwa kumuambikiza gono aiseeeeee kuna wanawake wana maisha ya mateso kisa ndoa na vinjemba visivyotulia
Niko making mno mkuu
 
Sio gharama kubwa kiivyo mkuu, ningekua nmemjenge,kumsomesha au kuwajengea kwao ungepaswa kunilaumu.
 
AAch
Acha michepuko Kaa na wako!
 
Michepuko sio deal, siku hizi wanataka ku dominate majimbo ya watu na wengi wao ni washirikina balaa
 
uyo unamlaumu bure tu.

mkeo yy anamhusu nini bana ww?

hlf wanawake km hawa hawaachiki kirahisi, apo unalo kiongozi
Kwaiyo kivipi sikupaswa kumlaumu na taarifa nishampa na anajua nauguza
 
Ha ha ha ...una rahisisha Sana mkuu eeeh[emoji4]
 
Dah! Umeandika kwa ukali mno dada[emoji848]
 
Nilidhani ni mimi pekee ninaekutanaga na ishu kama hizi. Pole sana mkuu kwa michepuko kichwa mbovu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…