Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

The cowardly act,.. The cowards....! Mimi ni muathirika wa hilo ila sikuwahi kuwaacha salama niliwapa vitasa vya nguvu
Kwamba ulitongozwa na wasiokujua NO ni jibu pia?
 
umeongea mambo mazito sana,wakusikia na asikie.
Mambo ya kukutana na vituko mwishowe kubadili ID hata mimi sitaki.
Mtu anaefukuzia k JF atakua na roho ngumu kama jiwe anahitaji medali ya ujasiri aisee!

JF central issue ni "anonymity"

I can never risk my precious anonymity for some random k JF..

Huku nchi kavu kuna k za kumwaga na kusaza!
 
Naomba nije piemu basi unikatae..ili nione wanajisikia je hao wanaokataliwa hahahaha
Yalishanikuta hayo, huwa nabonyeza button ya ignore, ila haichukui mda inakuja id mpya tena.
 
....umu ndani mtaja tongoza Majini kama si waganga wa kienyeji..mana usiku yupo ambiance mchana Jf
 
Mtu anaefukuzia k JF atakua na roho ngumu kama jiwe anahitaji medali ya ujasiri aisee!

JF central issue ni "anonymity"

I can never risk my precious anonymity for some random k JF..

Huku nchi kavu kuna k za kumwaga na kusaza!
Kula tano mkuu [emoji109][emoji109][emoji109]
Umenena vyema mkuu
 
Ukweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.

Promo, MTU akujui, hamfahamiani, na mapicha yenu humu ya kuiba wakati mna Sura za hovyo, Nani awafuate?

Wanawake wengi humu wanao comment Sana kuhusu mapenzi ni waliochelewa kuolewa, Malaya na wasiofurahia ndoa zao..

Nimelala na wada humu wa 3 wote Wana stress za hatari. Hata wewe ningetaka pita na wewe ni dakika.

Kuoa ni kipaji ndugu, hawa wanawake waangalieni hivi Tu, ni stress za kutosha, tabutupu.
 
Hahahaha,asee

[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji1][emoji2][emoji2] kuna kitu Kama unataka kutuambia hiv man
 
Hebu jisome tena alafu itafakari "stress".

Umenisoma Man... Nina mke na miaka 10 ya ndoa, sikuwahi mcheat hata mara 1, mwaka wa 7 wa ndoa akaliwa, nikaapa sitamla tena, tuna miaka 2 ma room mate kwa ajili ya watoto wetu... Kalia, kalazimisha mind set nimeiweka mahali namwona kinyaa.... Aendelee kuliwa tujinga Hutu tumtu.... Na Mie napita nao kwa staha Tu....

Pamoja na kumheshimu kumpa kila kitu ataliwa....utajiuliza mwanamke anataka nini? Jibu: kile usichompa....

If you invest in love you engage in shit.... Mapenzi ni enzi za Mama zetu. Wanaume tumeumbwa mateso na kuhangaika....
 
Duuu mimi nina balaa sana kama vile nalala na bundi yani mwendo wa kukataliwa tuu mpaka nawaza sijui niende kwa babu wa loliondo
Ukweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
 
Wengine wanakutangazia kashfa, mara "nishamla yule, hajui kukataa,mbayaaaa nk".

Huwa sielewi ni utoto,umama,udwanzi au ni nini. Puuzia tu.
Kukataliwa kunauma...hamjui tu.
 
Duhhhh......
Pole sana comrade, kumbe miaka ile tulikuaga wastaarabu sana wallah
 
Jibu.
Umenisoma Man... Nina mke na miaka 10 ya ndoa, sikuwahi mcheat hata mara 1, mwaka wa 7 wa ndoa akaliwa, nikaapa sitamla tena, tuna miaka 2 ma room mate kwa ajili ya watoto wetu... Kalia, kalazimisha mind set nimeiweka mahali namwona kinyaa.... Aendelee kuliwa tujinga Hutu tumtu.... Na Mie napita nao kwa staha Tu....

Pamoja na kumheshimu kumpa kila kitu ataliwa....utajiuliza mwanamke anataka nini? Jibu: kile usichompa....

If you invest in love you engage in shit.... Mapenzi ni enzi za Mama zetu. Wanaume tumeumbwa mateso na kuhangaika....
I am stressed, why? Wanawake.... Ova
 
Duuh hiv kuna mambo hayo huko pm kwaiyo ukituma text Leo Leo au ad kesho..?
 
Back
Top Bottom