Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

Kukataliwa kunauma...hamjui tu.

Hivi unakataliwaje? Sijawahi.... Maana kabla sijamtokea MTU lazima ni win loyality yake...

Kwanzaa lazima awe kiwango maana natulia na project hata ya 6 month's.... By the time nimeiweka fresh na kupima najua hapa haamki.... Yani najua kabla....nikiona haelekei simtongozi....

Sijawahi kuwa muhuni Sana hapo awali...na sasa najisaidia Tu kihisia ila Sona memory ya kukataliwa
 
Unakataliwa mkuu...unaset kila kitu..

Kuchekewa kwingi...unapewa na green light ukiingiza gia....unaambulia patupu.

Hawa wanawake wa namna hii sijui huwa wanatutakia nini?
 
Mkuu bado sijakutana nao... Ilan nikiweka lengo sijui aisee.... Shida zenu haraka
 
Shemeji nani kakuvuguga tenaa??
Ukweni wastaarabu kukataliwa ni sehemu ya maisha. Haya mambo ya kuwekeana vinyongo ni kwanini?

Mtu anarudi na ID mpya ana kupaka tu kila unachopost kumbe anamaliza hasira.
 
Wazoee tuu mummy binadamu ndio tulivyo
 
Tatizo ni kuja na id mpya jukwaani kuanza kunibully, hapo ndo napoignore.
Labda ni mpya kweli isiyofungamana na ile iliyokataliwa. Lakini nijuavyo mimi huna haja ama ulazima wa kubonyeza kitufe cha ignore.

Hivi ukiamua kuwa kimya kwa mfano, hakuna kumjibu PM or vyovyote vile, mfululizo, naamini ataacha mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom