Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Maendeleo yataletwa kwa kuuza vitu vyetu nje,sio kuingiza.Kama anakusanya hela mbona hawatuambii makusanyo kama vile walivyofanya mwanzoni wakati wanakusanya Areas?
Hali mbaya ndiyo maana Ngosha ameachana na mambo ya msingi anamkumbatia Daudi Bashite.

Jiulize aliwasifia gazeti la Jamhuri kwa kutonya uozo bandari lakini sasa wanatonya uozo wa elimu kwa wateule wake amekuwa mbogo anaita udaku. Kimsingi ameshakwama kwenye tope.
 
Labda zimehesabiwa na ambazo ziko njiani huko zinakuja....may be zimeshasogea sogea hadi usawa wa somalia hapo!kwi kwi kwiiiii
Ha ha ha haaaaaaaaa. Hizi za usawa wa Somalia sio za kuzitegemea kabisa, wataziharamia.
 
Mkuu;
Ni kweli kuna meli 30 na katika hizo, angalia tu, kwa kwenda kwake pale amefumua migodi ya mafisadi. Gari za kifahari simeitwa mitumba ya viatu na magauni.
Can yu believe it?? Angekuwa ni waziri wa wizara husika, si angehamia huko bandarini na kila siku afumue?? Pole zenyu msiosikia maonyo yake
Hamna ukweli hapo mnatafuta kick iweje yake namba za znz??
 
Mkuu aliona kwenye system mpaka mv Lami, mv Magogoni,mv Kigamboni, mv Mbovu na za Azam ndio maana
 
Hivi zile pesa ambazo mkuu anamsifia rais wa WB kuwa kamwaga sana hapa TZ ni msaada ama mkopo. Maana sielewielewi hivi!
 
Hivi zile pesa ambazo mkuu anamsifia rais wa WB kuwa kamwaga sana hapa TZ ni msaada ama mkopo. Maana sielewielewi hivi!
Ha ha haaa.. ni mkopo Mkuu, yeye hua hapokei misaada serikali yake inapesa sana.

Hivi zile ndege zingine mbili kubwa zishalipiwa CASH?
 
Hivi Msigwa mpaka sasa hajatoka na Press Release kuwaambia Watanzania kwamba sasa Meli zinaongezeka kuja kwetu na zimefika 30 kwa siku?
 
Mkuu;
Ni kweli kuna meli 30 na katika hizo, angalia tu, kwa kwenda kwake pale amefumua migodi ya mafisadi. Gari za kifahari simeitwa mitumba ya viatu na magauni.
Can yu believe it?? Angekuwa ni waziri wa wizara husika, si angehamia huko bandarini na kila siku afumue?? Pole zenyu msiosikia maonyo yake
Hivi kwa nini hawakuwataja walioleta hayo magari wakisingizia ni mitumba ya viatu? Kwani bill of lading ilikuwa inasoma ni Mali za nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom