Ha ha ha haaa... do you real believe that scene was based on true story?Mkuu;
Ni kweli kuna meli 30 na katika hizo, angalia tu, kwa kwenda kwake pale amefumua migodi ya mafisadi. Gari za kifahari simeitwa mitumba ya viatu na magauni.
Can yu believe it?? Angekuwa ni waziri wa wizara husika, si angehamia huko bandarini na kila siku afumue?? Pole zenyu msiosikia maonyo yake
Maganya Nazi waterfront near bandari..hakuna hata meli 3 kwa siku. Tunapigwa change tu. 30 uongo tuRefer to the heading above, hayo yalikua ni mazungumzo ya JPM na Jamaa wa pale bandalini.
Yaani President anauliza kwa msisitizo ili kuonyesha kwamba Bado anakusanya hela ya kutosha.
Halafu anauliza tena kwamba Sasa wale waliokua wanasema Meli haziji hamna mizigo hizi ni nini?
Sikia Mkuu; Hata zije Meli 500 per day sisi hatuna wivu na hayo Makitu. Shida yetu ni "maendeleo", unapojisikia fahari kuingiza Meli nyingi jisikie fahari zaidi kutimiza budget ya Bunge 2016/2017.
Focus kwenye mambo yatayotufanya Raia tufunge midomo wenyewe automatic. Huhitaji kuongea mpaka unapata kiu ili kutuonyesha nini unafanya. Kama Kazi nzuri tutaiona tu na tutaisifia. Kama Kazi haionekani tutaona tu kwamba hapa work done is equal to Bashite.
Mwenye Macho Haambiwi ona.
Mwenye masikio Haambiwi sikia.
Mwenye midomo Haambiwi kula.
Mwenye bundle hawaambiwi Google.
Gudnyt all.. sikilizeni Ngoma ya Ney-wapooooo;
"Kwani unaundugu na Yesu?"(kwa sauti ya Ney wa mitego)
Hiyo jana hakukuwa na meli 30. Ukiangalia leo zipo 17:Refer to the heading above, hayo yalikua ni mazungumzo ya JPM na Jamaa wa pale bandalini.
Yaani President anauliza kwa msisitizo ili kuonyesha kwamba Bado anakusanya hela ya kutosha.
Halafu anauliza tena kwamba Sasa wale waliokua wanasema Meli haziji hamna mizigo hizi ni nini?
Sikia Mkuu; Hata zije Meli 500 per day sisi hatuna wivu na hayo Makitu. Shida yetu ni "maendeleo", unapojisikia fahari kuingiza Meli nyingi jisikie fahari zaidi kutimiza budget ya Bunge 2016/2017.
Focus kwenye mambo yatayotufanya Raia tufunge midomo wenyewe automatic. Huhitaji kuongea mpaka unapata kiu ili kutuonyesha nini unafanya. Kama Kazi nzuri tutaiona tu na tutaisifia. Kama Kazi haionekani tutaona tu kwamba hapa work done is equal to Bashite.
Mwenye Macho Haambiwi ona.
Mwenye masikio Haambiwi sikia.
Mwenye midomo Haambiwi kula.
Mwenye bundle hawaambiwi Google.
Gudnyt all.. sikilizeni Ngoma ya Ney-wapooooo;
"Kwani unaundugu na Yesu?"(kwa sauti ya Ney wa mitego)
Viwanda vya local pombe ndiyo bongo sasa!Kipi alituahidi kuingiza meli nyingi Bandarini au Viwanda?
Huu mchezo wa kudanganya watu wakati teknolojia haiongopi sijui utaisha lini. Leo zipo 17:Maganya Nazi waterfront near bandari..hakuna hata meli 3 kwa siku. Tunapigwa change tu. 30 uongo tu
Ha ha haaaa... lastweek nilikua pale CoCo beach, ilikua juma4 saa 5 usiku, nilikaa mpaka saa 7 hivi usiku. Nikawa namtania wife unaona zile nyumba zinawaka Taa? Ni nyumba! Akasema Hee Kumbe Hapa Dar kuna nyumba zinapakana kwa umbali mkubwa hivyo? Nikacheka sana, nikamwambia hizo ni Meli.. akasema mbona chache hivyo? Nikamwambia tukutane kwenye report ya mwezi ya TRA.Maganya Nazi waterfront near bandari..hakuna hata meli 3 kwa siku. Tunapigwa change tu. 30 uongo tu
Kwahiyo Yule jamaa alimdanganya Mkuu? Unless sio Jana.Hiyo jana hakukuwa na meli 30. Ukiangalia leo zipo 17:
http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Ha ha ha haaa... do you real believe that scene was based on true story?
Tanzania ya Leo siyo ya 1970's..Mkuu;
The problem with actors if they are given a short notice to plan an event, they take it for granted that every one is going to be fooled in their action.
Just imagine, if for his visit today, he managed to capture 3 fancy vehicles, hidden in the containers, what about those containers which were not noticed since his last visit??
Waziri muhusika aachie tu ngazi. Anastahili kutumbuliwa mchana peupe. Usimngoje rais aje kukamata magendo yako.
Kwahiyo Yule jamaa alimdanganya Mkuu? Unless sio Jana.
Haimaanishi kwa kuwa Mimi ni mtanganyika nidanganyike Na uigizaji wa Magufuli . Tangu aseme kuwa uvamizi wa clouds ni habari za mitandaoni Huku ushahidi wa cctv ukionyesha siwezi kumuamini Huyu jamaa mpaka naingia kaburini.Mkuu;
Ni kweli kuna meli 30 na katika hizo, angalia tu, kwa kwenda kwake pale amefumua migodi ya mafisadi. Gari za kifahari simeitwa mitumba ya viatu na magauni.
Can yu believe it?? Angekuwa ni waziri wa wizara husika, si angehamia huko bandarini na kila siku afumue?? Pole zenyu msiosikia maonyo yake
Sio kadanganywa katudanganya yeye Maana anajua wazi Huo sio ukweli. Labda itakuwa kamaanisha mitumbwi Na boti za bakharesa.Ha ha haaaa unahisi Mkuu kadanganywa?
Ni dalili za uongo. Kwa muda mrefu hatujawahi kufikisha meli 25. Muda huu Mombassa zipo meli 41.Kwahiyo Yule jamaa alimdanganya Mkuu? Unless sio Jana.