Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Mkuu;
Ni kweli kuna meli 30 na katika hizo, angalia tu, kwa kwenda kwake pale amefumua migodi ya mafisadi. Gari za kifahari simeitwa mitumba ya viatu na magauni.
Can yu believe it?? Angekuwa ni waziri wa wizara husika, si angehamia huko bandarini na kila siku afumue?? Pole zenyu msiosikia maonyo yake
Haya shindana Na website hiyo ya bandari Maana watu wengine sijui mnaushabiki kiasi gani? Hebu jaribuni kufuatilia kila jambo kabla ya kulikubali
 
Attachments

  • IMG_9732.PNG
    IMG_9732.PNG
    171.8 KB · Views: 24
Ni fedheha kwa kweli..ukikaa daraja la Salender unaweza kuhesabu meli zote ziliopo nangani yule Mzee haaminiki tena
 
Tuanzie hapa, tuna bandari ngapi katika bahari ya hindi? Msisahau na ile bubu ya pale mbweni.

Na washawasha!
 
Ni fedheha kwa kweli..ukikaa daraja la Salender unaweza kuhesabu meli zote ziliopo nangani yule Mzee haaminiki tena
Ha ha haaaa.. mimi hua Napenda kuzihesabu nikiwa pale CoCo beach Usiku..by the way Hata usiku huu nitaendA.. nitasema nimeona ngapi.
 
Bongo muvi hizo wewe kuwa na akili yale maroba ya nguo si ya manzese na hata plate numba za magari hukuziona wabongo bwana ndiyo maana ukaambiwa mitumbwi ya wavuvi 30

Mkuu;
Usimjaribu mtu wa watu. Ndo maana waandishi wakakimbilia kwa Nape badala ya mkuu wa nchi. Nyiye, nyiye shauri lenu
 
Haya shindana Na website hiyo ya bandari Maana watu wengine sijui mnaushabiki kiasi gani? Hebu jaribuni kufuatilia kila jambo kabla ya kulikubali

Mkuu;
Umeona nini hapo mkuu?? Sijakuelewa miye, nishindane nayo kuwa magari hufichwa humo au?? Mbona tunaleteana tena mafumbo? Hebu swali la kimtaani kidogo nijibu. Tuseme, kwa kwenda kwake pale tu, jana baada ya kumtumbua Nape amekamata magari 3 ya kifisadi na makontena 10 ya madini (udongo wa madini).
Je, tangu mara ya mwisho afike pale, ni mangapi mmepitisha kinyume na maagizo?? Mtawatenda nini hao wabishi na vichwa ngumu??
Bongo hatujambo weye sijui una ushabiki kiasi gani
 
Hivi nani hata mmoja kawajibishwa,Zaidi ya kuwasifia? Scanner kufanya kazi yake ndio cha kumuitia mkuu wa nchi njoo uone?.Kama ujio wake ndio ulipelekea yote hayo kufichuka,why waziri,mkurugenzi,na commissioner wa kodi wasiwajibishwe kuwa tunapoteza kea makusudi mapato ya nchi?. Vipi hawa wamepewa muda wa kujicheck?.
 
Sema hupend kusikia rais akifanikisha jambo.unapenda kusikia kashfa tu.
Kubwa zima hovyooo. Unafiki utakuuwa ww.
 
Mkuu;
Umeona nini hapo mkuu?? Sijakuelewa miye, nishindane nayo kuwa magari hufichwa humo au?? Mbona tunaleteana tena mafumbo? Hebu swali la kimtaani kidogo nijibu. Tuseme, kwa kwenda kwake pale tu, jana baada ya kumtumbua Nape amekamata magari 3 ya kifisadi na makontena 10 ya madini (udongo wa madini).
Je, tangu mara ya mwisho afike pale, ni mangapi mmepitisha kinyume na maagizo?? Mtawatenda nini hao wabishi na vichwa ngumu??
Bongo hatujambo weye sijui una ushabiki kiasi gani
Tumeambiwa kuna meli 30 Lkn kwa mujibu wa website Yao kuna meli16
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom