Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,254
- 21,275
Refer to the heading above, hayo yalikua ni mazungumzo ya JPM na Jamaa wa pale bandarini.
Yaani President anauliza kwa msisitizo ili kuonesha kwamba bado anakusanya hela ya kutosha.
Halafu anauliza tena kwamba sasa wale waliokuwa wanasema Meli haziji hamna mizigo hizi ni nini?
Sikia Mkuu; Hata zije Meli 500 per day sisi hatuna wivu na hayo Makitu. Shida yetu ni "maendeleo", unapojisikia fahari kuingiza Meli nyingi jisikie fahari zaidi kutimiza budget ya Bunge 2016/2017.
Focus kwenye mambo yatayotufanya Raia tufunge midomo wenyewe automatic. Huhitaji kuongea mpaka unapata kiu ili kutuonyesha nini unafanya. Kama Kazi nzuri tutaiona tu na tutaisifia. Kama Kazi haionekani tutaona tu kwamba hapa work done is equal to Bashite.
Mwenye Macho Haambiwi ona.
Mwenye masikio Haambiwi sikia.
Mwenye midomo Haambiwi kula.
Mwenye bundle hawaambiwi Google.
Gudnyt all.. sikilizeni Ngoma ya Ney-wapooooo;
"Kwani unaundugu na Yesu?"(kwa sauti ya Ney wa mitego)