Kuna maonesho ya simu leo?

Kuna maonesho ya simu leo?

Leo ni shida mkuu, watu wanaringisha simu zao walizonunu maduka ya sabasaba

9975ee6d203ae7362f379282b68c1f05.jpg


Nokia jeneza
 
mbona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
kulikoni
Nililiona hilo mapema. Ingia kwenye setting kwenye signature uka-cancel.
Sasa cha ajabu simu zimejisetije zenyewe leo na kuanza kujianika aina zake?
 
Back
Top Bottom