mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Wameamua kutuvua nguo.wazee wa mchina,jamii forums mungu anawaona
Nshajibiwa umechelewa ha ha haayako inaonesha itel![]()
![]()
![]()
Kiongoz.wingi wa hela haupimwi kwa uzuri wa simu unayotumia.ni uamuzi.mijitu mingi humu kumbe hoe hae tu
Situmii pc.Ningeona kama unatumia tecno ningekugaia ila nahisi umezidi wewe unatumia pc
kwel mkuu...humu JF kila mtu na degree,kila mtu ananyumba na kila mtu anagari.....hb na cute kila mtu ana demu mkali au bwana mwenye pesa....ndo mitanzania ilivyoWatu wote wana magari na nyumba![]()
Hoe have kwa kijapani = matajiri kupindukia.mijitu mingi humu kumbe hoe hae tu
App yenyewe bado inazinguaHaahaaaa. Tecno katika ubora wake ndio zimetawala hapa. Ukiangalia vizuri wanaotumia JF Mobile App ndio kuna hiyo signatureu
kwel mkuu...humu JF kila mtu na degree,kila mtu ananyumba na kila mtu anagari.....hb na cute kila mtu ana demu mkali au bwana mwenye pesa....ndo mitanzania ilivyo







Wanataka kutudhalilisha tunaotumia tecno
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mbona sisi wa huawei tuko wachache hiviHahaha.......nilidhani peke angu kumbe nna wenzangu natamani niifiche isijioneshe
Sent from my HUAWEI Y550-L01 using JamiiForums mobile app
Dah kwa sm yangu hii naogopa hata kucomment
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Tecno mmepatikana leo
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
HahaaaaaaMimi natumia Ipi huko hebu tazameni maana ni ya wizi sijawahi kuijua inaitwaje
Raphael Wa Ureno