Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,405
- 104,817
Sijawai sizani kama ntatumia cm za line 2Kuna siku nilikuona unatumia sijui tecno gani vile!!!
MmmmHaahaaaa. Tecno katika ubora wake ndio zimetawala hapa. Ukiangalia vizuri wanaotumia JF Mobile App ndio kuna hiyo signatureu
Huo utakua utani wa ngumi flesh kama hukumaanisha pamoja sanaNimeongea kiutani
Imeingizwa hiyo ntajie yanguwe unadhani imeingiaje![]()
anhaaa..sawa!Duh!!!!! Hupajui PM? PM NI PAMOJA MIMINAWE
Sent from IPhone 9 using JamiiForums
Wacha we!! Haya nami ninunulie basi ya line moja!!!Sijawai sizani kama ntatumia cm za line 2
Nambie leo mimi natumia ipi?
nyekundu????Hapana, yangu inarangi ya upendo...![]()
![]()
![]()
umeona?Nacoment makusudi niione
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Mhhhh.....inavutia![]()
![]()

Ningeona kama unatumia tecno ningekugaia ila nahisi umezidi wewe unatumia pcWacha we!! Haya nami ninunulie basi ya line moja!!!
Ingekuwa inaonyesha hata wewe ungeona.
atakuwa ana mimba changa...Mhhhh.....
Mbona ile siku nilipo itoa ili nichach kwenye bus, yule mdada alikua anaiangalia kama anapata kichefchefu....![]()
![]()
![]()
Ni Gest (Guest House)anhaaa..sawa!
ni baa au mgahawa?
Ni Gest (Guest House)
Sent from IPhone 9 using JamiiForums
