Kuna maonesho ya simu leo?

Kuna maonesho ya simu leo?

mbona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
kulikoni
Wameseti vibaya signature.

Jamani mset vizuri signature zenu iwe Customer au option nyingine na wala sio ile ya kuonesha aina ya vimeo vyenu
 
Hahaha.......nilidhani peke angu kumbe nna wenzangu natamani niifiche isijioneshe

Sent from my HUAWEI Y550-L01 using JamiiForums mobile app
hujui jinsi yakuficha ?
ngoja kwanza niwainjoi halafu ntawaelekeza

sent from my nokia torch using jamii forum application
 
Kuna mtu nilikuwa namuona wa maana kumbe anatumia tecno
smilie 3.jpg
 
Back
Top Bottom