DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana hata kesho yakifanyiwa marekebisho uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki tukikaa mezani tuone tatizo liko wapi, na yeyote anayezuia meza mazungumzo halitakii mema taifa hili.