Kuna maajabu mengi kuhusu mnyama Paka

Kuna maajabu mengi kuhusu mnyama Paka

Hizi stupid myths za paka ni upotoshaji tu. Kawaida paka hata mbwa wanapojisikia vibaya, huwa wanatoka kwenda kutafuta mahala pa kupumzika kwani hawataki kelele. Ila kama wakizidiwa wanakufa popote pale. Kufilana/kujamiiana wanafanya popote bila hata kujificha, iwe mchana au usiku haina noma.
 
Paka wana roho saba,halafu mboni yake ya macho hubadilika kutokana na mwanga,nawapenda sana mapaka ila sio mapaka shume
 
Kuni swala la mapenzi hii picha itatoa jibu
9b9f85c400d69aad544e129a5a53187b.jpg
hyo style ni nomaa
 
Umenikumbusha lile shairi la TUNAYE PAKA NYUMBANI darasa la tano kama sikosei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom