Kuna maajabu mengi kuhusu mnyama Paka

Kuna maajabu mengi kuhusu mnyama Paka

Kuni swala la mapenzi hii picha itatoa jibu
9b9f85c400d69aad544e129a5a53187b.jpg

Paka kagoma.
 
Hivi kwa nini wanasema ukifungiwa na paka chumba kimoja mpambane anaweza kukuua?
Asili yao iko hivo mkuu ni wapole ila kwa kuwa mko chumba kimoja na mko kwenye mapambano nae ana jihami kwa kujitutumua na kutoa kuchuka zake kujiandaa kukuparua apate kukushinda ni tofauti iki pambana nae sehemu ya wazi hawez kujihami kwa kukutunua ila atakimbia...kiumbe chochote kile tabia ya kujihami pale anapo mwona adui yake
 
ahaaa sawa mkuu
 
sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom