Kuna kosa lisilosameheka

Kuna kosa lisilosameheka

nyota ya mafanikio unamaanisha nini?

Yaani mtu anikatae afu anilaani? Hakuna kitu kama laana, ni uthubutu tu.

Bora kutunza baba mlezi aliyejali.

Kongosho,
Najua utakataa tu kwa kuwa kuna kukataa lakini babako alivyo ndivyo nawe utakuwa. Huo ndio uumbaji na Mungu hajakosea hapo. Nawe utawa[uuza wanao, hata kama utajitahidi vipi, mtoto akizubaa tu umemtema. Ndivyo ilivyo, hivyo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Laana ipo na itadumu daima, hutafanikiwa. Mwone huyo mtu waliye msema humu, mwangalie kidogo tu utaona mambo yake yatakavyo samaratika kiaina.
 
Tuwe wa kweli
Kama baba alimkana mtoto na akumlea iweje mtoto awemsaada kwake
Rais Mstaafu wa Ghana Jerry alimfukuza baba ake mzazi kwa kisa iko iko na hadi leo yuko feash hamna laana wala nn
 
habarini wana mmu,
kuna habari nimeisoma mahali nikaona si vibaya nikiwashirikisha ambayo imenifanya nijiulize kweli KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA? kuna mwimbaji maarufu wa bongo flava ambae ana pesa na hata amemnunulia mama yake gari la 38 M na pia anatumia mamilioni ya pesa kwenye starehe ili hali baba yake anaumwa mguu kwa muda mrefu bila msaada wowote ikiwa ni sh milioni 1 tu ndio inayoitajika kumtibu.

Kipindi cha nyuma kidogo mwimbaji huyu aliwai kusema kuwa baba yake alimkana,na mama yake ndie aliyeangaika nae toka mdogo kwa kila kitu.
Ingawa mwenye kuhuku ni Mungu lakini kwa hisia zako hivi alifanyalo huyu mwimbaji ni sahihi au si sahihi?

Ni hayo tu,nawatakia week-end njema.

NB: kwa ambao mmeshavurugwa na foleni,kazi,stress e.t.c msi comment

Sasa kama baba ndiye alimkana mwanawe huyo mwanawe atamsaidiaje?

Sijaona mahala uliposema kuwa baba karudisha roho yake na sasa kamkubali mwanae.
 
Angemsaidia tu,kulipa baya kwa baya hain maan,alipe tu wema atazid kuumia roho huy mtelekezaji.
 
  • Thanks
Reactions: lin
Kigwangalah Mbunge wa Nzega pia na baba yake ehehehehe!Kazi kweli kweli
 
kabla hajatoka daimondi nikikumbuka nachoka daimondi.......nn
 
Kama ni kweli hayo usemayo basi inafika wakat binadam tuwe na huruma kwan mwenye maamuzi yakuhukumu ni Mungu tuu aliye juu, kwa maon yangu ni kwamba Diamond amsamehe tuu mzee kwan iki pia ni kipindi cha mwez mtukufu wa ramadhan hivyo ni fursa pekee yakusamehana na kupendana mengine tumuachie Mungu ye ndo ataejua lakuhukumu..... Ni hayo tuu ndugu zangu
 
inawezekana kweli huo msemo ndio uko unafanya kazi labda angemuomba msamaha mwanae

Yah! Watu wanamlaumu kijana wa watu, yeye ndio alianza wao wanamaliza, yeye alistahili aombe msamaha kwa kumkana kukosewa wakosowe wao msamaha waombe wao hapo sio sawa.
 
lin;
Mtu mzima ukiisha jikuta unamchukia mzazi wako yeyote kati ya Babako au Mamako, weye ni taa.hira tu. Hata ungevuma mpaka kwenye upepo.
Kumbuka waswahili walisemaga; Utavuna ulichopanda. Kweli babake anavuna alichopanda lakini mtoto huyo huyo atajavuna na yeye anachokipanda kwani hakuna mwanaye atakaye mjali???
AAche kuyakumbuka mavi ya kale. Achukulie hilo kama ngazi kwake na amkaribishe babake kwake aje ale mema aliyoyafanya mamake. Mjinga ka huyo aweza kwenda kumjali baba wa kambo kuliko. Pole sana mbaba unayetaabika leo wala usimlaani mwanao

Mkuu kunya kanya yeye wacha azoe mavi yake, angejua ipo cku angekua msaada kwake asingemkana na hata kama angekua maskini km yeye asingeleta hizo lawama kua hasaidwi ila sababu anajua ana uwezo ndio maana hizi lawama zimejitokeza.
 
roho mbaya hairithiwi bwanamdogo diamond.msamehe mzee
 
Nyie mnaomponda Diamond hamjui maumivu ya kutelekezwa kwa mtoto na baba yake. Inaumiza moyo mno tena sana. Msimlaumu diamond kwa hili.

Kwa kumlaumu diamond mnajenga kiburi kwa wapumbavu ambao wanawapa wanawake ujauzito na kuwakimbia moyoni wakijipa matumaini kuwa mtoto atanitafuta tu mimi baba yake.

Yeyote anayemlaumu diamond anawaza kwa pupa..
 
mambo yakisambaratika haihusiani na laana, ni kushindwa tu iuplan.

Mr. Nice alimkataa babake? Muhdin Gurumo?

Ndio kuna tabia ambazo ni inherent na zingine zinatengenezwa na mazingira.

Am sure tabia inherent huwa active zaidi kama mwenye hizo tabia akikulea.

Mambo mengine ni kuzichosha akili tu.

b
Kongosho,
Najua utakataa tu kwa kuwa kuna kukataa lakini babako alivyo ndivyo nawe utakuwa. Huo ndio uumbaji na Mungu hajakosea hapo. Nawe utawa[uuza wanao, hata kama utajitahidi vipi, mtoto akizubaa tu umemtema. Ndivyo ilivyo, hivyo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Laana ipo na itadumu daima, hutafanikiwa. Mwone huyo mtu waliye msema humu, mwangalie kidogo tu utaona mambo yake yatakavyo samaratika kiaina.
 
Mkuu unajua uchungu wa kukanwa na mzazi?

Kinacho tokea hapo ni Mungu kumuadhibu huyo mzee na si Dimond kuonekana kuwa hajali.Unaanzaje kusikitika kwa mtu ambaye hakuwahi kukujali wala kutaka kukusikia hata siku moja

Mkuu kuna watu wanakurupuka hapa pasipokujua wanachokiandika
 
Kusamehe ni moyo wa mtu, inategemea pia aliimia au madhara aliyopata kwa kukanwa na babae pia hvyhvy kwa ***** aliumia kiasi hadi ashindwe kumshawishi mwanae amsamehe babake, pengine ndie alisababisha wakakulia maisha waliokua nayo. UNAPOSKIA MALIPO HAPAHAPA DUNIANI NDIO HAYO. naungana nae kwa maamuzi yake.

mkuu thumb up.

kama hujamlea mwanao you are like anybody else.

huwi baba kwa kutia mimba na kuondoka.

ubaba ni zaidi ya hapo
 
Ni kweli, we earn forgiveness.

Inawezekana wala hajamkubali na kakimbilia kwenye vyombo vya habari.

hajamkubali na wala sijawahi kusikia alimuomba msamaha.
Ila diamond na dada yeke ambao wote wametelekezwa pia, walimfata baba yao wakatolewa nduki na bibi yao, kisa eti walienda kipindi ambacho familia imeuza nyumba yao ya kkoo so bibi akahisi watoto wamefata hela za baba yao.
Ila bora wao wamejihesabia ni wa kigoma inamaana wanamtambua baba yao ila baba mtu ndo shida
 
Back
Top Bottom