Kuna kosa lisilosameheka

Kuna kosa lisilosameheka

inaelekea hata mama ni kitu kimoja na mwanae coz asingeshindwa kumsaidia yeye kama yeye

lin;
Mtu mzima ukiisha jikuta unamchukia mzazi wako yeyote kati ya Babako au Mamako, weye ni taa.hira tu. Hata ungevuma mpaka kwenye upepo.
Kumbuka waswahili walisemaga; Utavuna ulichopanda. Kweli babake anavuna alichopanda lakini mtoto huyo huyo atajavuna na yeye anachokipanda kwani hakuna mwanaye atakaye mjali???
AAche kuyakumbuka mavi ya kale. Achukulie hilo kama ngazi kwake na amkaribishe babake kwake aje ale mema aliyoyafanya mamake. Mjinga ka huyo aweza kwenda kumjali baba wa kambo kuliko. Pole sana mbaba unayetaabika leo wala usimlaani mwanao
 
  • Thanks
Reactions: lin
yapo makosa yasosameheka. Na wazazi wajifunze kutekeleza majukumu yao.

Mzazi anamtoa mjukuu wake(ambae ni mwanao) kafara, afu usamehe hivi hivi? Hata kama hakudhurika ile idea tu haisameheki.

nimetaka kujua mitazamo ya wengine pia coz mimi kama mimi naona angemsamehe na kumuachia yote mungu amsaidie baba yake wakati huu anaotafuta matibabu bila msaada wowote
 
  • Thanks
Reactions: lin
wewe unauhakika vipi kama yule ndio baba yake mzazi.! nilishawahi kusikia yule ni baba yake mlezi.! Tena wa kipindi kifupi tu, kama miaka 2 tu.
 
Diamond asingekuwa star asingeumwa? Hana watoto wengine au ndugu?

Hata wee mtoa mada waweza toa.msaada, 1m kitu gani? Thawabu ni zile zile.

labda ila anaumwa haswa
 
habarini wana mmu,
kuna habari nimeisoma mahali nikaona si vibaya nikiwashirikisha ambayo imenifanya nijiulize kweli KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA? kuna mwimbaji maarufu wa bongo flava ambae ana pesa na hata amemnunulia mama yake gari la 38 M na pia anatumia mamilioni ya pesa kwenye starehe ili hali baba yake anaumwa mguu kwa muda mrefu bila msaada wowote ikiwa ni sh milioni 1 tu ndio inayoitajika kumtibu.

Kipindi cha nyuma kidogo mwimbaji huyu aliwai kusema kuwa baba yake alimkana,na mama yake ndie aliyeangaika nae toka mdogo kwa kila kitu.
Ingawa mwenye kuhuku ni Mungu lakini kwa hisia zako hivi alifanyalo huyu mwimbaji ni sahihi au si sahihi?

Ni hayo tu,nawatakia week-end njema.

NB: kwa ambao mmeshavurugwa na foleni,kazi,stress e.t.c msi comment
hakuna kosa lisilosameheka hapa Duniani........ila kuna watu huwa hawasamehe hata iweye wako tayari kupoteza hata uhai wao kuliko kusamehe.....................!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: lin
kuna ubaya gani kumjali baba wa kambo aliyekulea?

Kisa kuna sperm donor anaugua? Uzazi ni zaidi ya kuchangia mbegu. Hata mahindi yana mbegu lakini hayana baba/mama.

lin;
Mtu mzima ukiisha jikuta unamchukia mzazi wako yeyote kati ya Babako au Mamako, weye ni taa.hira tu. Hata ungevuma mpaka kwenye upepo.
Kumbuka waswahili walisemaga; Utavuna ulichopanda. Kweli babake anavuna alichopanda lakini mtoto huyo huyo atajavuna na yeye anachokipanda kwani hakuna mwanaye atakaye mjali???
AAche kuyakumbuka mavi ya kale. Achukulie hilo kama ngazi kwake na amkaribishe babake kwake aje ale mema aliyoyafanya mamake. Mjinga ka huyo aweza kwenda kumjali baba wa kambo kuliko. Pole sana mbaba unayetaabika leo wala usimlaani mwanao
 
kuna ubaya gani kumjali baba wa kambo aliyekulea?

Kisa kuna sperm donor anaugua? Uzazi ni zaidi ya kuchangia mbegu. Hata mahindi yana mbegu lakini hayana baba/mama.

Kongosho;
Hayo ni mawazo ya kilaana kabisa. Baba aliyekuzaa ndiye hiyo nyota yako unayotembelea na mafanikio yako. Kama mamako ndiye mbaya kwenye hayo mahusiano yao ulitaka afanye nini??
Nasema, si kwa sababu ya ufahari wako ila, la muhimu hapo ni uhusiano wako na ni nani baba wala si vinginevyo. Baba wa kambo si babako ila mlezi wako. Kashikishwa na mamako hivyo simdharau
 
Mzazi ni Mungu wa pili. Akilaani hamna anayeweza kurekebisha hiyo laana
 
nyota ya mafanikio unamaanisha nini?

Yaani mtu anikatae afu anilaani? Hakuna kitu kama laana, ni uthubutu tu.

Bora kutunza baba mlezi aliyejali.

Kongosho;
Hayo ni mawazo ya kilaana kabisa. Baba aliyekuzaa ndiye hiyo nyota yako unayotembelea na mafanikio yako. Kama mamako ndiye mbaya kwenye hayo mahusiano yao ulitaka afanye nini??
Nasema, si kwa sababu ya ufahari wako ila, la muhimu hapo ni uhusiano wako na ni nani baba wala si vinginevyo. Baba wa kambo si babako ila mlezi wako. Kashikishwa na mamako hivyo simdharau
 
na yeye atakua na roho mbaya tu kama huyo baba aliyemwacha
 
Back
Top Bottom