Kuna kosa lisilosameheka

Kuna kosa lisilosameheka

naongea nikimaanisha
DIAMOND yuko sahihi. Wazazi aina hiyo wanakera sana.

you are correct man

kuna watu natamani wangetelekezwa na baba zao hapa wasingekuwa wanaandika walichoandika.

narudia tena huwi baba kwa kutia mimba
 
Leo diamond asingekuwa hapo huenda hata baba angeendelea kupiga kimya tu
simlaumu diamond mie alichofanyiwa uchungu anaujua yeye mwenyewe

ni kweli watu wanamlaumu diamond kwa mafanikio yake. Assume angekuwa anazurura huko mtaani hana mbele wala nyuma
 
laana gani? He is just a common stranger.

Labda kama unaweza laaniwa na mtu yeyote.

umenifurahisha sana mkuu... labda kama laana imekuwa cheap kiasi cha kutolewa na kila mtu hata asiyekuhusu.
 
Mkuu kunya kanya yeye wacha azoe mavi yake, angejua ipo cku angekua msaada kwake asingemkana na hata kama angekua maskini km yeye asingeleta hizo lawama kua hasaidwi ila sababu anajua ana uwezo ndio maana hizi lawama zimejitokeza.

Samboko;
Jua kwamba, kosa halimalizi kosa ila huongeza matatizo. Tena, ukijiona weye ndiyo umejiwezesha kufanikiwa utakuwa kipofu kabisa. Usijivunie mafanikio jivunie aliyekuwezesha kufanikiwa.Msimamo wangu ni kuwa hakuna kosa lisilo sameheka chini ya jua.
Babake asingelikuwa anampenda mamake huyo angezaliwaje??? Mwambie huyo jamaa yako atumie akili sio masa.buri. Amsaqmehe babake, amsaidie kama anavyoweza kumsaidia mtu mwingine. Nakuhakikishia, mijitu ka hiyo, hata kwenye dala dala hayawezi kumpishi mzee kiti. Yana roho mbaya ya kisasi saa zote hivyo yatafilisika tu. Wadhani alipo mnunulia mamake hiyo gari ya 38 M ilikuwa ni mapenzi kwa mamake au kumtia wivu babake? Huo ni ujinga si akili. Amtunze babake hata kama kamfanyia nini. Mengine amwachie Mungu amlipe. Mbona tunanunua chakula cha mbwa????
 
Tuimbe wote!!

Ombea adui yakooo aishi siku nyingiii ili utapofanikiwa wajionee kwa macho.

Nakapenda sana haka kanyimbo aisee.
 
Kosa nisilosamehe kwa demu wangu ni kugawa papuchi nje
 
mfano kwa wazazi wenye tabia ya kukana watoto wao kula wewee...mama diamond enzi unapata shida wala hakua na huruma na wewe leo ndo ajifanye kumjua kisa...!
 
He passed away and i didnt cry coz my anger wouldnt let me feel for a stranger - Tupac ( Dear Mama)....!!
 
mara nyingi tunaangalia karibu hatuangalii mbali,na mtoto akishakuwa lazima tu ataambiwa historia ya maisha yake hata na watu wa mbali kama bibi,shangazi

Wakati mwingi nyie wenzetu mnawa-brainwash hawa watoto wetu halafu mnawafeed mnayotaka
 
mzee kabugi bora angemkataa diamond akiwa mtoto tu but alimkataa akiwa mtoto hata alipokua kijana mkubwa bado dingi alileta dharau na matusi ukizingatia diamond alikua anamfuata kila siku kama mtoto kwa baba yake
inauma sana diamond pekee ndio anaweza kusema how it pain wala tusiingilie
mzee hana love yeye anataka mpunga tu huyo aubunyee
 
ukitaka asiwe brainwashed play ur part as a responsible dad
ni sawa lakini ni vizuri kumwambia mtoto ukweli,kuwa huyu ndio baba yako
ugomvi wako wewe na baba yake haumuhusu hata kidogo,huwa wanakuja
kupata shida sana baadae
 
habarini wana mmu,
kuna habari nimeisoma mahali nikaona si vibaya nikiwashirikisha ambayo imenifanya nijiulize kweli KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA? kuna mwimbaji maarufu wa bongo flava ambae ana pesa na hata amemnunulia mama yake gari la 38 M na pia anatumia mamilioni ya pesa kwenye starehe ili hali baba yake anaumwa mguu kwa muda mrefu bila msaada wowote ikiwa ni sh milioni 1 tu ndio inayoitajika kumtibu.

Kipindi cha nyuma kidogo mwimbaji huyu aliwai kusema kuwa baba yake alimkana,na mama yake ndie aliyeangaika nae toka mdogo kwa kila kitu.
Ingawa mwenye kuhuku ni Mungu lakini kwa hisia zako hivi alifanyalo huyu mwimbaji ni sahihi au si sahihi?

Ni hayo tu,nawatakia week-end njema.

NB: kwa ambao mmeshavurugwa na foleni,kazi,stress e.t.c msi comment

no need to help him kwan yeye alimsaidia nini zaidi ya kumkataa...
 
mimi naamin duniani bwana kuna mabadiriko hata kama je ulijarib kufuatilia kwann alimkana?kuna situations ktk maisha hupelekea mtu kufanya vitu bila kutarajia,sasa ni vyema kusamehe kwan mwisho wa siku hamtesi baba yk anajitesa mwenyewe,,tuangalie dini.inasemaje?inatuagiza tufanye nn?bt kusamehe muhimu ili uishi kwa aman
 
ni sawa lakini ni vizuri kumwambia mtoto ukweli,kuwa huyu ndio baba yako
ugomvi wako wewe na baba yake haumuhusu hata kidogo,huwa wanakuja
kupata shida sana baadae

hahahahaha sasa si ndio anaambiwa kuwa yule ni mtu aliye contibute sperms hadi akatoka mtoto lakini hamna lingine la ziada alilolifanya
 
Back
Top Bottom