andishile
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,429
- 522
Yanayompata huyo baba ,iwe fundisho KUBWA kwa wanaume wenye tabia kama hiyo,unatelekeza mke au watoto huwezi kujua ya kesho,ndo kama hivyo sasa mtoto ana mshiko baba umefulia!wanaume bwana sijui huwa wanawazaga nini vichwani mwao wakati wanatelekeza wake au watoto wao!