dah itasikitisha sanaaaaaaaaaaa
dah itasikitisha sanaaaaaaaaaaa
nimetaka kujua mitazamo ya wengine pia coz mimi kama mimi naona angemsamehe na kumuachia yote mungu amsaidie baba yake wakati huu anaotafuta matibabu bila msaada wowote
Kama Mungu anasamehe ww mwanadamu ni nani usisamehe?
Kuna kosa ambalo kwangu mm haliwezi kusamehewa nalo ni usaliti ktk mapenz lakn sitaweza kusamehe kwa lengo la kurudiana na kuishi pamoja ila atakapohtaji msaada wa kiafya au kifedha nitamsaidia.
Pesa ni maua tu huwez kulinganisha na uhai wa ntu
Hakuna dhambi isiyo sameheka duniani hata vitabu vya dini vinatuambia no one is perfect aise tungehesabiwa makosa sidhani kama kuna ambaye angestaili but people difer ningekuwa mi ningejishusha binadamu tunafanya makosa either kwa kujua au kutofahamu impact zake
Mkuu unajua uchungu wa kukanwa na mzazi?
Kinacho tokea hapo ni Mungu kumuadhibu huyo mzee na si Dimond kuonekana kuwa hajali.Unaanzaje kusikitika kwa mtu ambaye hakuwahi kukujali wala kutaka kukusikia hata siku moja
Kusamehe ni moyo wa mtu, inategemea pia aliimia au madhara aliyopata kwa kukanwa na babae pia hvyhvy kwa ***** aliumia kiasi hadi ashindwe kumshawishi mwanae amsamehe babake, pengine ndie alisababisha wakakulia maisha waliokua nayo. UNAPOSKIA MALIPO HAPAHAPA DUNIANI NDIO HAYO. naungana nae kwa maamuzi yake.
mdomo unaponza! Lakn sio vbaya ulivyomtaja cos mm nilikuwa simjui.
Kumbe jamaa anaroho mbaya kiasi hicho!
Mkuu unajua uchungu wa kukanwa na mzazi?
Kinacho tokea hapo ni Mungu kumuadhibu huyo mzee na si Dimond kuonekana kuwa hajali.Unaanzaje kusikitika kwa mtu ambaye hakuwahi kukujali wala kutaka kukusikia hata siku moja
nimeshawahi kusikia kijana akisema "atanitafuta tu akikua".
Sina moyo na wanaotelekeza watoto.
atajiju.