Kunguru hafugiki toka sitokii..Alikubuhu,ila long distance relationship nayo si njema
USIKILIZWE UNA HOJASuluhisho ni moja never ever take a woman serious at any time, utakuja kuumia mbeleni.
Kama mjomba alikuwa na mazungumzo naye angemfuata nyumbani na si kwenda kukutania mjini..Ndio hvyo sasa huyo Dada watoto kawaacha wenyewe na ni usiku na taarifa hakutoa kwa mumewe. Yawezekana alitoka kugawa utelezi
1-Kupeana miadi ya kukutana kuzingatie muda na sehemu yenyewe.Kwa nini usiku tena mbali na nyumbani?Kama mjomba alikuwa na mazungumzo naye angemfuata nyumbani na si kwenda kukutania mjini..
Mtu kutoka mjini hadi daraja mbili ni kitendo cha dakika kumi tu, alishindwa vipi kwenda nyumbani?
PT na majibu yao ya mkato eti WIVU WA KIMAPENZI, yamepitwa na wakati ni vyema kutokutoa taarifa kabisa.
TUKISEMA KIJANA KATAA NDOA, NI KWA SBB MWANAUNE ANATESWA ZAIDI NA NDOA. KUKAA MBALI , NI KUJIHAKIKISHIA MAISHA MAREFU YA UTULIVU NA AMANINahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.
Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.
Asikudanganye mtu my,Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea. Wanawake tumepewa kipaumbele sawa, lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.
Hizi mambo naona ndo zinachangia;
1. Kuuua wake zao
2. Kuchukia wanawake especially singlemoms
3. Kujiua wenyewe
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni wazi ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi iwe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.
Huyo alitoka kuchepuka kwa mazingira hayo ni dhahiri alimsaliti mumewe.Kama mjomba alikuwa na mazungumzo naye angemfuata nyumbani na si kwenda kukutania mjini..
Mtu kutoka mjini hadi daraja mbili ni kitendo cha dakika kumi tu, alishindwa vipi kwenda nyumbani?
PT na majibu yao ya mkato eti WIVU WA KIMAPENZI, yamepitwa na wakati ni vyema kutokutoa taarifa kabisa.
siwezi kuvumilia aisee,,,Wewe unaweza mvumilia mwanaume anaekusaliti daily tena waziwazi? Na kufurahia
SureSuluhisho ni moja never ever take a woman serious at any time, utakuja kuumia mbeleni.
[emoji419] Na hapa ndio wanapofeli.Ndivyo ilivyo ukishakuwa mke wa mtu n muhimu kuwa na mipaka na watu
[emoji24][emoji24][emoji24] nimekukosea nini sheeShee wewe likukute tu lolote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kabisaKunguru hafugiki toka sitokii..
Mwanamke kama ni anatabia za kurukaruka anaweza kumwacha mume wake nyumbani na kwenda kufanya ufuska anapojua yeye.
Long distance relationship isiwe sababu ya kuhalalisha tabia za ufuska, kwani kuna wanawake wanaotumikia vifungo na bado wanaweza kuishi pasipo ya tendo.. Iweje wewe ushindwe kutumikia kifungo chako cha ndoa?
Wengine wakati wanaenda na pete wanaivua kabisa hiyo ni kumaanisha ni tabia na kamwe haitobadilika..
Madeni yangu.