Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,353
- 4,744
Ni sheria ziwekwe sawa tu, makelele ya speaker yamepitwa na wakati; kwani haiwezekani mambo kimya kimyaSerikali ya TZ inazichukia dini kama Mila na desturi kumbe dini ni mabaki ya ukoloni, dini hazitakiwi kupewa kipaumbele wala kuendeleza shughuli zake.
Mfano hapa Post TU na kariakoo Kuna misikiti Iko karibu karibu hata MITA 100, hazifiki, lakini cha ajabu kila msikiti unapiga adhana kwenye speeker kwa sauti kubwa ya ajabu , kwani nini adhna isitolewe TU kwa msikiti mmoja Posta na kariakoo ili kupunguza makerere .
Weye ndio una pepo,,hama.Wewe una pepo
Dogo acha fujo. Watu tunajadiri mambo ya maanaWeye ndio una pepo,,hama.
Sheria kupanga hizi kabla hujahamia sehemu zifuateSisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.
Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.
Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.
Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
huwa unawaza kitu tofauti na Dini? Sasa upo Kenya , Kunduchi Dar es Salaam unasikia vipiMtu umejilalia zako ghafla unaskia majitu yanabwatuka kiarabu kwenye spika na kuzindua kila mtu.
Wewe na huo Msikiti nani kamkuta mwenzake? Ukitafuta maeneo mwambie Dalali au omba ramani ya mipango mini usiwe karibu na nyumba za Ibada.
Kuna sehemu nilihama,yaani sheikh asubuhi baada ya kutoa adhana anaanza kupiga biti,shenzi nyie mmelala,hamtaki kumuabudu allah s.a.w.....na vijembe kibao........
Acha dharau mie sio dogo.Dogo acha fujo. Watu tunajadiri mambo ya maana
Aaah yule sheikh fala sanaππ,utasikia we umelala hapo wakati we ni wa kuoza tu.....mnajifanya hamsikii....Ibada inatakiwa isiwe kero. Mungu halazimishi watu kumfuata. Anatoa tu miongozo lakini uchaguzi ni wa mwanafamu na siyo kulazimisha.
Kitanda chako ndio kaburi lako,shuka lako ndio sanda YakoπAaah yule sheikh fala sanaππ,utasikia we umelala hapo wakati we ni wa kuoza tu.....mnajifanya hamsikii....
Kama ulikuwepo vile πππKitanda chako ndio kaburi lako,shuka lako ndio sanda Yakoπ
Kuna wimbi kubwa la watumishi au manabii sa hiv wametapakaa kwenye mastand ya daladala, masokoni na sehem nyingj za wazi, imefika hatua hadi kwenye baadhi ya usafiri wa umma unakuta watu wanahubiri, na napata shida kujua nan haswa anatoa hivi vibali. Ila serikali itusaidie kwa dini zote hizi kuangakia ni kwa namna gani huzi changamoto zinatatuliwa angalau kuwekwe muongozo sahihi wa kutimiza ibada katika dini zote hizi mbili kwa utulivu na amanSisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.
Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.
Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.
Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
π€£π€£π€£π€£,Kama ulikuwepo vile πππ
Kitanda chako ndio kaburi lako,shuka lako ndio sanda Yakoπ
Umejuaje ni ushetani ?Hadi huko huo ushetani upo?
Kuna wimbi kubwa la watumishi au manabii sa hiv wametapakaa kwenye mastand ya daladala, masokoni na sehem nyingj za wazi, imefika hatua hadi kwenye baadhi ya usafiri wa umma unakuta watu wanahubiri, na napata shida kujua nan haswa anatoa hivi vibali. Ila serikali itusaidie kwa dini zote hizi kuangakia ni kwa namna gani huzi changamoto zinatatuliwa angalau kuwekwe muongozo sahihi wa kutimiza ibada katika dini zote hizi mbili kwa utulivu na aman