KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Full Blood Picture

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
3,894
Reaction score
7,896
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
 
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Dawa ni moja tuu,usizisikilize hizo kelele.
 
Serikali ya TZ inazichukia dini kama Mila na desturi kumbe dini ni mabaki ya ukoloni, dini hazitakiwi kupewa kipaumbele wala kuendeleza shughuli zake.

Mfano hapa Post TU na kariakoo Kuna misikiti Iko karibu karibu hata MITA 100, hazifiki, lakini cha ajabu kila msikiti unapiga adhana kwenye speeker kwa sauti kubwa ya ajabu , kwani nini adhna isitolewe TU kwa msikiti mmoja Posta na kariakoo ili kupunguza makerere .
 
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
Jengen kanisaq
 
Back
Top Bottom