Kuna karatasi yako moja muhimu hutaiona!

Kwenye situation kama hiyo kuna mawili.

1. Uthibitisho wa kiserikali baada ya muda wa msako kupita na kuthibitika upotevu usio na dalili ya kupatikana.
2. Kimila, kifamilia au kindugu kuamua kuweka msiba wa kufikirika na kufikia uamuzi wa kifo cha mhusika.
 
Ule muda tangu saa ya kufa mpaka saa ya kuzikwa hutokea mambo mengi sana mazuri na mabaya, yakusikitisha na ya kuogopesha pia.
 
Hii itahitimishwa na taarifa za tiketi yako ya ndege na "airline manifest" ambayo itathibitisha uwepo wako kwenye ndege iloanguka au kupotea.

Hivyo kutafanyika inquest na baada ya hapo coroner ataandika cheti cha kifo.
 
Hii itahitimishwa na taarifa za tiketi yako ya ndege na "airline manifest" ambayo itathibitisha uwepo wako kwenye ndege iloanguka au kupotea.

Hivyo kutafanyika inquest na baada ya hapo coroner ataandika cheti cha kifo.
 
Mkuu, inamaana mtu kama Bensaanane hamna chake?
 
Scenario tutaaita mafao ya uzeeni endapo serikali itatoa chet chako cha kifo alafu baadae wewe na wenzako mkarudi uraiani hapo mta claims compensation kwa serikali kwa kutoa certificate ya vifo kwa watu walioko hai.
 
Mkuu , inamaana mtu kama Bensaanane hamna chake?

Ziraili wa gizani
 
Kweli. Cheti cha mume wangu ninacho. Japokuwa tulikuwa separate muda mrefu sana na japokuwa walininyima na kunipora kila kitu ila cheti cha kifo aliyepewa ni mke wa ndoa ijapokuwa walikuwepo wamama wengi wengi tu.

Tujitahidi kuweka mambo vzr tukiwa na uhai maana kifo kipo.
 
Umenikumbusha member mwenzetu Ben Saanane
 
Pole mtani na kitunze vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…