Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,754
- Thread starter
- #21
Kwenye situation kama hiyo kuna mawili.Mkuu, ikitokea umekufa baharini kwa kumezwa na papa au kupotea na ndege kama ile ya malaysia nadhani cheti hiki hakitakuwa issued kwako. Maana kutakuwa hakuna proof ya kifo chako. Hvi ikitokea scenario kama hii huwa inakuwaje? Kwa mfano ukapotea na ndege kama Malaysian airways
1. Uthibitisho wa kiserikali baada ya muda wa msako kupita na kuthibitika upotevu usio na dalili ya kupatikana.
2. Kimila, kifamilia au kindugu kuamua kuweka msiba wa kufikirika na kufikia uamuzi wa kifo cha mhusika.