ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,380
- 8,628
Ni kweli kabisa mkuu, na hospitali zimefurika wagonjwa, jana nimeenda hospitali mbili hivi mmh!Hivi mmeliona hilo?Kuna hali fulani kama mlipuko wa homa na mafuta kila mahali katika jiji la Dar es Sallam