cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
Yani na waweza kuta umeandika tusi bila kutarajiaHahaha, waga keyboard ziko Sharp sana kuliko ata mtu anaefklia kitu cha kutype
Yani na waweza kuta umeandika tusi bila kutarajiaHahaha, waga keyboard ziko Sharp sana kuliko ata mtu anaefklia kitu cha kutype
Yani mimi ilianza kuwa naskia joto flani la kuuzi nikanywa maji wee wapi, kufika mchana naanza kubanwa kifua, kichwa kinauma na mwili joto linazidi, nikameza Panadol huku nashindwa hata kuongea, aisee nimeteseka sana, mpaka nikapiga azuma ndio napona na ku sweti hatari, na mafua ya Sasa ni mabaya yana ambukiza Mimi mwenyewe ni mtu alikuwa na hyo Hali na tuko close naye sanaNi hatari, Mimi Hadi nilihisi kifo kimekaribia, joto la mwili lilikuwa juu Sana,na kichwa kuuma, yaan mpaka leo Bado mwili hauna nguvu kabisa
Wimbi la nne lajaHivi mmeliona hilo?Kuna hali fulani kama mlipuko wa homa na mafuta kila mahali katika jiji la Dar es Sallam
Lini palikuwa hakuna mafua Dar es salaam?
Wana ubabe gani ?Wao ni fursa tu kwetuHii ni taarifa kama taarifa nyingine , kama kuna mlipuko ndo tujue
Mafua ni moja ya dalili za korona kwa sasa ndo sababu watu wanakuwa concerned. Unless uniambie korona inauwa watu laini laini wa dar na sio nyie wababe wa mikoani.
Dar ina barabara za lami ,vumbi ni history:karibu mjiniSasa vumbi lote hilo mtakosaje kuwa na mafua?
Endeleeni kula vumbi
Dah,ndio Hali niliyopitia Mimi au nnayopitia, hapa naendelea na Dozi ya Azuma,Yani mimi ilianza kuwa naskia joto flani la kuuzi nikanywa maji wee wapi, kufika mchana naanza kubanwa kifua, kichwa kinauma na mwili joto linazidi, nikameza Panadol huku nashindwa hata kuongea, aisee nimeteseka sana, mpaka nikapiga azuma ndio napona na ku sweti hatari, na mafua ya Sasa ni mabaya yana ambukiza Mimi mwenyewe ni mtu alikuwa na hyo Hali na tuko close naye sana
Hasa kwenye ma office ya Serekali, Watumishi wengi sana Wana mafua au kikohozi, utawaona na vitambaa vyao na jinsi wanavyoongelea puwani! Mafuwa si mchezo,hasa yakiaamua kukubana!!Hivi mmeliona hilo?Kuna hali fulani kama mlipuko wa homa na mafuta kila mahali katika jiji la Dar es Sallam
Mimi azuma niliacha nikameza antibiotics maana nilivokuwa Sina nguvu plus hyo azuma huchosha zaidi Sasa hivi nadunda ingawa nakunywa sana tangawizi nyingi kwenye chai na asali, nimeanza kufikiria tu kupata hyo chanjo ingawa kirusi kina change.Dah,ndio Hali niliyopitia Mimi au nnayopitia, hapa naendelea na Dozi ya Azuma,
Nimenunua matunda kibao kurudisha mwili kwenye hali yake
Ilikuwa kama mimiHata mimi! Mafua ni makali sana halafu na joto lipo juu
Sasa ndg huyo Omicron anadhoofu kwa sindano ngapi au ipi, mchina, mrusi au mmarekani au zote tatu tudungwe tu !.dawa ni vaccination, mostly likely OMICRON ameishatia timu bongo.
Ila watu wa daslamu kwa kudeka Chaeeeeei!!
Kwahiyo mnaitana mfarijiane ?