Kuna ithibati gani ya kuthibitisha leo ni Jumatatu?

Hakika Itoshe kusema mzee Mshana anakaribia kurudi kwa muumba....
Sio kwa mada Tata kama hizi
 
Kiuhalisia hakuna uthibitisho wa kisayansi au wa kifizikia kwamba leo ni Jumatatu, kwani jina hili si sheria ya asili kama vile mzunguko wa dunia, bali ni makubaliano tu ya kijamii yaliyoundwa na wanadamu ili kufuatilia muda.

Sisi huamini kuwa leo ni Jumatatu kwa sababu jamii nzima inakubali mnyororo mrefu wa uhesabuji wa siku saba ambao haujawahi kukatika kwa maelfu ya miaka, ingawa hakuna mabadiliko yoyote ya kimaumbile au ya nyota yanayoashiria mpito huo.

Mfumo huu ulianza zamani sana na ustaarabu wa kale kama wa Wababiloni, na kwa sasa umewekwa kama kiwango rasmi cha kimataifa ili kurahisisha biashara na mawasiliano duniani kote.
Katika lugha ya Kiswahili, neno "Jumatatu" lenyewe linatokana na kuhesabu siku tatu tangu kuanza kwa juma la kiasili lililoanzia Jumamosi, jambo linalothibitisha zaidi kuwa majina haya ni mfumo wa hesabu tu uliovumbuliwa na binadamu.
Hatimaye, kama watu wote duniani wangeamka kesho na kukubaliana kwa pamoja kuliita siku hiyo Ijumaa, basi mfumo mzima ungebadilika na kuwa Ijumaa, kwa sababu jina la siku linategemea tu utii na imani yetu ya pamoja.View attachment 3618021
Calender is fake, we only have day and night..🤗👍
 
Hata wewe Hilo jina umepewa Tu na hakuna ithibati yoyote kwamba wewe ni Mshana Jr. Ungeweza hata kuwa bichwa komwe na Leo ingeendelea kuitwa jumatatu.
 
Mshana Jr naona bado uko mapumziko(kitandani) ukaona uje na bandiko lako kujitetea.😃

kesho utakapoingia kazini na boss akakufuta kazi, mpeleke mahakamani huku ukiwasilisha huu utetezi wako hapa.😃
Hahahaha😂😂😂
d8b50d1d-c041-457c-bffa-45f7a6e1a633.jpeg
 
Calender is fake, we only have day and night..🤗👍
Wakati uliopita na ujao haupo: Katika fizikia ya kisasa, hakuna mstari wa muda unaotiririka kutoka "jana" kwenda "kesho." Kitu pekee kilichopo ni sasa (the present moment).
 
Nachojua tu Sayansi ilishathibitisha "everyday is a weekend".
Sayansi inathibitisha kabisa kwamba mtazamo wako wa kiakili, namna unavyopangilia muda wako, na uchaguzi wa kazi unazozifanya zinaweza kufanya kila siku iwe na ile "hamasa ya wikendi😂
 
Kuhusu siku ancient knowledge na mystical information zilitumika
Ewaa iko hivi kwa ufupi kiasi chake
Maarifa ya kale na habari za siri zilitumika kama nguzo kuu ya maisha katika jamii za zamani, ambapo viongozi na makuhani walizitumia kuongoza watu, kutunza utaratibu, na kulinda mamlaka yao kwa kuonekana kama wajumbe wa miungu.

Katika maisha ya kila siku, elimu hii ya unajimu na mienendo ya nyota ilikuwa muhimu kwa ajili ya kutengeneza kalenda zilizosaidia kutabiri majira ya mvua, ukame, na mafuriko ya mito ili kupanga kilimo.

Kwenye upande wa afya, sayansi ya tiba za mimea ilichanganywa na matambiko ya kiroho ili kutibu magonjwa ya mwili na kusafisha akili.

Aidha, siri hizo za kihisabati na kijiometri zilitumika kujenga majengo makuu ya kihistoria kama mapiramidi, ambayo yalinyooka kwa usahihi wa hali ya juu kulingana na pande kuu za dunia na mionzi ya jua.

Mwisho, kupitia shule maalum za siri, maarifa haya yalifundishwa kwa watu wachache waliochaguliwa ili kuwasaidia kukua kiroho, kujitambua, na kuelewa siri nzito za ulimwengu.
 
Kiuhalisia hakuna uthibitisho wa kisayansi au wa kifizikia kwamba leo ni Jumatatu, kwani jina hili si sheria ya asili kama vile mzunguko wa dunia, bali ni makubaliano tu ya kijamii yaliyoundwa na wanadamu ili kufuatilia muda.

Sisi huamini kuwa leo ni Jumatatu kwa sababu jamii nzima inakubali mnyororo mrefu wa uhesabuji wa siku saba ambao haujawahi kukatika kwa maelfu ya miaka, ingawa hakuna mabadiliko yoyote ya kimaumbile au ya nyota yanayoashiria mpito huo.

Mfumo huu ulianza zamani sana na ustaarabu wa kale kama wa Wababiloni, na kwa sasa umewekwa kama kiwango rasmi cha kimataifa ili kurahisisha biashara na mawasiliano duniani kote.
Katika lugha ya Kiswahili, neno "Jumatatu" lenyewe linatokana na kuhesabu siku tatu tangu kuanza kwa juma la kiasili lililoanzia Jumamosi, jambo linalothibitisha zaidi kuwa majina haya ni mfumo wa hesabu tu uliovumbuliwa na binadamu.
Hatimaye, kama watu wote duniani wangeamka kesho na kukubaliana kwa pamoja kuliita siku hiyo Ijumaa, basi mfumo mzima ungebadilika na kuwa Ijumaa, kwa sababu jina la siku linategemea tu utii na imani yetu ya pamoja.View attachment 3618021
Unapitiliza kufikiri mda si mrefu utatuletea habari za mbinguni ndani ndani huko
 
Na namna ulivyojiswendeka gubigubi ndani ya duvet hadi unatia huruma bwashee, huhisihata kupungukiwa pumzi?

Sasa mbona haujaeleza ni nini kwa pamoja kilitufanya tukubaliane na kuamini kuwa juma3 ndiyo siku ya kwanza ya juma badala ya juma1 kupangwa kuwa ni siku ya sita katika juma, ambayo kinamba ndiyo siku senior kuliko j3?

Ni nani aliyetuvurugia mfumo huu wa kihesabati?
 
Hata kusema huu mwaka ni 2026 nayo si sahihi pia kwani tuna calendar nyingi tofauti na hii ya Gregorian calendar ambazo nazo zipo kwenye kuhesabu miaka tofauti na huu tuliopo mfano kwa calendar ya kichina sasa hivi ni mwaka 4723
 
Kiufupi ni mapokeo tuliyopokea kwenye vyanzo mbalimbali ndiyo huakisi kile tunachokiamini kuwa kweli hivi sasa
 
Back
Top Bottom