Hahahaha..Kwa hiyo WANAUME WA DAR WANAPENDA VYA BURE...airtel wanatangaza promosehini yao ya Facebook bila salio special kwa wanaume wa dar.
![]()
Nilichokiona ndo hicho kwann useme ni uongo, kama umekereka kimpango na kama hujaona be quiteSijui waTZ tutaacha lini uzushi,kama hujui kwani ni lazima upost,we sema tu nimeiona sio kuandika uongo usio na uhakika nao.
sana tena ubuyu wa bure ndiyo chakula chao kikuu.Hahahaha..Kwa hiyo WANAUME WA DAR WANAPENDA VYA BURE...
Rangi ya airtel ni IPI na ya Voda ni IPI mkuuu.....Imepita tena kwa mara ya pili hapa Kinondoni.
Inasomeka FACEBOOK neno linalofuata nimeshindwa kulisoma. Hiyo facebook ina rangi ya airtel.
rangi ya airtel ni nyekundu, voda rangi yao ilikuwa ni blue ila waliwaiga airtel mara baada ya kuona airtel wanafaidi na ile HAKATWI MTU HAPA.Rangi ya airtel ni IPI na ya Voda ni IPI mkuuu.....
Yaani ameamua kuunguza mafuta na kuingia gharama kubwa hata maandishi hayaonekani? Maajabu haya!Nilichokiona kwenye hiyo helcopter ni maneno yaliyo nakshiwa rangi nyekundu FACEBOOKA only that mandishi mengine hayaonekani
rangi ya airtel ni nyekundu, voda rangi yao ilikuwa ni blue ila waliwaiga airtel mara baada ya kuona airtel wanafaidi na ile HAKATWI MTU HAPA.Rangi ya airtel ni IPI na ya Voda ni IPI mkuuu.....
rangi ya airtel ni nyekundu, voda rangi yao ilikuwa ni blue ila waliwaiga airtel mara baada ya kuona airtel wanafaidi na ile HAKATWI MTU HAPA.Rangi ya airtel ni IPI na ya Voda ni IPI mkuuu.....
rangi ya airtel ni nyekundu, voda rangi yao ilikuwa ni blue ila waliwaiga airtel mara baada ya kuona airtel wanafaidi na ile HAKATWI MTU HAPA.
Airtel wanatangaza promosehini yao ya Facebook bila salio special kwa wanaume wa dar.Yaani ameamua kuunguza mafuta na kuingia gharama kubwa hata maandishi hayaonekani? Maajabu haya!
Asa mbona hilo bango ninla rangi ya blue...au mi nna color blindness jamani!?Airtel wanatangaza promosehini yao ya Facebook bila salio special kwa wanaume wa dar.
![]()
HivyohivyoWewe lazima utakuwa GAMBA la nyoka!!!
Mtu anayefanya ubahili ku advertise biashara zake ni sawa na mtu anayesimamisha saa yake isitembee huku akifikiri kua kwa kufanya hivyo ana save time!Haya makampuni yana hela nyingi sana za kuchezea