Kuna helicopter inazurura mjini imebeba bango!

Hata mimi nimeiona huku Tegets imepita. Bango lina rangi nyekundu sijui limeandikwa nini maana nilikua mbali kidogo. Aliyeona kwa karibu atuambie limeandikwa nini.
 
Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
MI SIMO, JAPO NI MTANZANIA ...
 
Back
Top Bottom