lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Watanzania wanafanya utani hata kwenye Maisha yao kama kuchora midoli kwenye mitihani yao..watanzania ni watu wa mizaa tu!!Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
Usiwashangae!!