Kuna helicopter inazurura mjini imebeba bango!

Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
Yaani nafatilia nipate jibu,lakini naona mizaha tu...wanafikiri wote tupo Tanzania.Kazi sana!
 
Huyoo Afisa Masoko kabuni njiaa nzuri, kwa sababu watu wemekuwa attention kujua kuna ujumbe gani nyuma yake na hilo ndilo lilokuwa dhumuni lao, Big Up kwako Afisa Masoko wa Airtel.
 
H
Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?

Hili ndilo tatizo letu kubwa!!!
 
Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?

Ni dalili za stress.
 
Back
Top Bottom