Kuna helicopter inazurura mjini imebeba bango!

Kuna helicopter inazurura mjini imebeba bango!

Mmmh. Hata uku pande za Ilala imepita.
Ila sijajuwa ni tukio gani
 
aiseee kweli wakati mwingine usiulize kitu maana utajibiwa ndivyo sivyo
 
Hapa ndo utaona sisi watanzania tunapenda mizaa sana ( utani) mtu anauliza swala zuri tu lakini watu wanajibu tu wanavyojisikia kwani mkitulia tusubiri wenye kuwa na majibu sahihi kuna ubaya?
Kwanza sio mizaa ni mizaha.Si kila jambo lolote litokealo chini ya jua lazima liwe na maana take that into account!
 
meetme-helicopter.jpg
 
Sijui waTZ tutaacha lini uzushi,kama hujui kwani ni lazima upost,we sema tu nimeiona sio kuandika uongo usio na uhakika nao.
 
Imepita tena kwa mara ya pili hapa Kinondoni.
Inasomeka FACEBOOK neno linalofuata nimeshindwa kulisoma. Hiyo facebook ina rangi ya airtel.
 
Sasa hawa jamaa wanatangaza facebuka bure hivi kweli kwa uchumi huu ulivyo unatangazia watanzania kufacebuka bure, aisee ni mizaha ya ukuaji uchumi wa nchi na matumizi mabaya ya simu ambazo nyingi ndio zinasubiri nyundo ya TCRA.
 
Back
Top Bottom