Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,084
- 93,894
Mbona hamkuandamana sasa mlipoibiwa kura na CCM?Wenye ujasiri wa kuandamana nchi hii ni Wazanzibari tuu. Waliobakia ni waoga kama kunguru.
Mbona hamkuandamana sasa mlipoibiwa kura na CCM?Wenye ujasiri wa kuandamana nchi hii ni Wazanzibari tuu. Waliobakia ni waoga kama kunguru.
Kwani nimekubebea kichwa chako?Ilikuwaje?
Asingeweza kufanya hivyo ukizingatia mazingira aliyoingia hayakumruhusu, asingeweza kueleweka.Mama alivyoingia ilipendeza angekuja na package yake full
Baraza la mawaziri
Wabunge
Spika na naibu wake
Jaji mkuu.
Kumbe sasa haya ya CDM kufutiliwa Dunia nzima yanatoma wapiWala hata dunia haifuatilii hiyo royal tour yenu. Dunia yote inafuatilia yanayoendelea Ukraine.
Kabisa kuna ushenzi mkubwa unaendelea nchi hii.Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Mpuuzi mkubwa weweSiyo mahakama wala bunge la Jamhiri ya Muungano wa Tanzania bali Mwenyekiti wa CHADEMA ndilo tatizo ndani ya CHADEMA.
Ukisikia watu wa hovyo ndio haoKwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Tumpate njagu mmoja tumueliminate na kula tigo ndiyo akili itawafikaKeyboard warrior at your best.
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Hawara yako ni nani kule bungeni?Mwenyekiti wa chama na genge lake wanahaha kuwaingiza mahawara zao bungeni. Mdee endelea kuwabana pumpu hivyo hivyo.
Okay. sema ulitulia weweJPM jitu mwitu, mziki mnene CD Mia saba! Leta ubishi ule za uso fabaa! Wote tulitulia tuli ...
PGO ilikuwa nomaKuna watu wanaenda kuvuliwa nguo hadharani.Hii kesi itaibua mambo mengi ambayo tulikuwa hatuyajui.Ila itakosa ule utamu wa PGO .
DJ ndiye aliwaapisha vichochoroni hadi wa magereza.Kama ujui DJ alisha panga na alijua COVID-19 wataendelea kuwa wabunge kupitia Mahakama mbaka kesi itakapotolewa maamuzi 2O25 hustaili kushabikia siasa.
DJ ndiye director wa Ili movie wengine mna panic bila Sababu.
😂😂 utani huu. Ruzuku mpate nyie halaf kuandamana tuandamane sisi, wana faida gani hao 19 kwetu? Mngewapitisha ninyi au kutowapitisha ninyi si kunatusaidia nini? Hata tuliowapigia kura wenyewe tunaona hawana la maana sembuse hao covid 19. Acheni wale maisha hadi hapo haki ya kisheria itakapoamuaKwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.