Kuna haja ya kufanya maandamano kuwashinikiza Jaji Mkuu na Spika wajiuzulu

Mama alivyoingia ilipendeza angekuja na package yake full
Baraza la mawaziri
Wabunge
Spika na naibu wake
Jaji mkuu.
Asingeweza kufanya hivyo ukizingatia mazingira aliyoingia hayakumruhusu, asingeweza kueleweka.

Ndugai alivyochemka tu kumsimanga hadharani, akambutua mazima, mgogo alijichanganya akaingia cha kike.

Hata Kassim Majaliwa aende taratibu na kwa heshima katika nyendo zake.
 
Vifaa vinapanda bei hakuna maandamano
Mafuta yamepanda bei kwa zaid ya 40% hamkudai maandamano

Leo kisa mdee niandamane hizo chuki pelekeni kwenye familia zenu

Mnawachukia mabint za watu kama mmeshare
 
Watanzania washindwe kuandamana sababu ya upandaji bei wa petrol na vyakula waandamane sababu ya upuuzi wenu wakijinga usio beba interest za wananchi bali interest za mbowe na joyce mukya, hakuna mtanzania mjinga zaidi ya nyumbu wa ufipa.
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Kabisa kuna ushenzi mkubwa unaendelea nchi hii.
 
Siyo mahakama wala bunge la Jamhiri ya Muungano wa Tanzania bali Mwenyekiti wa CHADEMA ndilo tatizo ndani ya CHADEMA.
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Ukisikia watu wa hovyo ndio hao
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
1652869970152.png

Huyu shetani atafufuka sasa hivi! Dai katiba ndugu!
 
Kama ujui DJ alisha panga na alijua COVID-19 wataendelea kuwa wabunge kupitia Mahakama mbaka kesi itakapotolewa maamuzi 2O25 hustaili kushabikia siasa.
DJ ndiye director wa Ili movie wengine mna panic bila Sababu.
DJ ndiye aliwaapisha vichochoroni hadi wa magereza.
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
😂😂 utani huu. Ruzuku mpate nyie halaf kuandamana tuandamane sisi, wana faida gani hao 19 kwetu? Mngewapitisha ninyi au kutowapitisha ninyi si kunatusaidia nini? Hata tuliowapigia kura wenyewe tunaona hawana la maana sembuse hao covid 19. Acheni wale maisha hadi hapo haki ya kisheria itakapoamua
 
Tulia amekutana na giza mezani..... hakikisha hawa 19 hawatoki ukumbini kwa namna yoyote
 
Back
Top Bottom