Kuna haja ya kufanya maandamano kuwashinikiza Jaji Mkuu na Spika wajiuzulu

nilikuwa nadhani Judiciary angalau imebaki na kaheshima kidogo. kumbe nao ni hovyo tu. hawa ndio watu Magufuli alipima akili zao akaona hakuna mtu wa kumfanya chochote
Nonsense.!! 👆

Wakati hiyo judiciary inamuachia mbowe mlisema anaupiga mwingi, tulieni sindano iingie vizuri.
 
Ulozungumza mkuu ni sawa ila hilo la maandamano mbona naona unatupeleka mbaliii?
Usitufanyie ya mange kitambi
 
Waachwe tu wazidi kuichafua CCM na Serikali yake dhalim,dunia inafuatlia hii kesi nyingine ya mchongo. Sukuma Gang wana mkono katika hii kesi ili kuzidi kumharibia Samia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Dunia ya wapi mbona mnadanganywa sana eti Dunia inafutilia yani iaache futilia Royal tour ifutilie uhuni wenu

Yani mahakama ikimuachia mdude CHADEMA na sugu mahakama mnafurahi muhimili umeheshimiwa ila ikija kwenu ooh mahakama inanajisiwa ebu kuweni wapore si mnaitaji fair play nyie ndio hii sasa
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Hawa wasanii wanapewa muongozo toka ngazi ya juu (CCM)....they are failing us wananchi.
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Hapana, wameshinikizwa na Magufuli; mtu mwenye roho mbaya yule anawanunua wapinzani.
 
Dunia ya wapi mbona mnadanganywa sana eti Dunia inafutilia yani iaache futilia Royal tour ifutilie uhuni wenu

Yani mahakama ikimuachia mdude CHADEMA na sugu mahakama mnafurahi muhimili umeheshimiwa ila ikija kwenu ooh mahakama inanajisiwa ebu kuweni wapore si mnaitaji fair play nyie ndio hii sasa
Wala hata dunia haifuatilii hiyo royal tour yenu. Dunia yote inafuatilia yanayoendelea Ukraine.
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
uhuni mtupu wanahisi wa tz ni mazuzu
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Waache waende mahakamani Kibatala n the team wanawasubiri kwa hamu
 
Wako wapi hao wa kuandamana !!?? Siwaoni zaidi ya 'HEWALA.....'
 
Nenda mzee, dunia italea watt wako.... kuna vitu vya kuingia mtaan lkn sio kwa sbb ya kupambania ugali wa mwanasiasa... fanya kazi uinue uchumi wa nchi yetu. Sio kujazana ujinga wakati ukiambiwa toka utakimbilia chooni... mwambie dada ako akuongezee bajeti ya chakula ili upunguze msongo wa mawazo...
 
Screenshot_20220517-070433.jpg
 
Kwa haya yanayoendelea mahakamani na Bungeni, Ni wazi kuna haja ya kufanya maandamano nchi nzima hawa watu wajiuzulu. Tulia na Ibrahim Juma jitafakari Kama mnastahili kuwa katika nafasi hizo na bila kushinikizwa na umma, mtaleta machafuko ya ndani.
Tukifika hapo na nchi ndiyo itapata maendeleo ya kweli
 
Back
Top Bottom