Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Unaweza ukanitumia baadhi ya video mlizorecord??
 
Wapendwa. Tujihadhari sana tuingiapo gesti na vimada. Kuna gesti Dar zina cctv. Ukiingia tu na kuanza mchezo wako mhudumu anawaita rafiki zake wakuone unavyofanya huku wakikurekodi. Inasikitisha sana kuona wengi tuliowashuhudia kwenye hizi cctv wanafanya mambo ya ajabu sana. Kulambana sehemu za siri za mwanamke na mwanamme. Kinyume na maumbile ndio karibu kila wawili hufanya na mengine mengi machafu
Mkuu ungetoa hints chache kuwa mara nyingi zinafichwa sehem fulani.
Ili iwe rahisi kujilinda lakini hivi umetoa taarifa tu.
Ila shukrani Mkuu
 
Unaweza ukashangaa asubuhi Mtoto wa kike una check out Muhudumu wa Mapokezi anakupa pole huku analengwa machozi...unamshangaa humuelewi kumbe mwenzako ameona jinsi ulivyovurumishwa usiku kucha.
 
Ila waswahili hatunaga shukran kila mmoja hapa atajidai haingiagi gesti na kumponda mleta mada wakati huo huo wameshakopi uzi wake na kusambaza magrup ya watsup

Mada ni mada haina muda maalum wa kupost

Shukran mleta mada kwa kushare nasi jambo muhimu kama hili
Eti umesemaje??

vllkyt2a3vdntis46g.2d84ee27.jpg
 
Halafu kule unakuta pazia halitoshi dirishani, ukivuta upande mmoja, upande mmoja unabaki wazi...utadhani wamekosea kumbe ni makusudi yao tu.
Haaaaa haaaaa nyie watu!
 
Sambaza picha A ujinga ujue dola iko wapi...pili kagua room kiintelijensia....jifunike gubigubi na blanketi....
 
Back
Top Bottom