Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Mkuu umevujisha siri. Umejuaje hao wanaolamba tigo. Kama sio muhudumu basi IT wa guest
 
Kuna watu wanaenda gesti then wanaiba pia ,wacha ziwekwe tu
Halafu ni kosa kisheria ni unaweza ukawafunga wenye guest. Huwezi ukaingilia privacy ya mtu kwa kuweka cctv camera chumbani labda mkataba wako na mteja uruhusu hizo mambo.
 
Kwanini wanatufanyia hivi lakini? Tufike room badala ya kufanya kilichotupeleka tunaanza kutafuta camera. Ukimaliza hapo unaanza kupambana na vumbi.
Dawa ukiingia nyumba ya wageni yoyote kwanza zima taa zote zilizomo ndani ya chumba kisha washa camera ya smart phone yako, kama kuna camera yoyote utaona kamwanga kadogo sana kana shine kwenye camera yako ka rangi nyekundu unachotakiwa kufanya hapo hakuna kukimbia, tafuta jojo iliyotafunwa unaibandika pale unaendelea kufurahia tunda lako, nadhani mmenisoma vizuri napita tu hapa sikai kabisa leo.
 
Ndo kupoteza muda huko sasa
 
Ktk ma hotel ya nchi nilizotembelea nimeona camera kwenye corridors, gate, garden na maeneo mengine. Chumbani No.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hili mbona ni la siku nyingi Mkuu? Ukiingia chumbani kwanza fanya search ya nguvu na kuziba chochote kile unachodhani ni camera kisha fanya yako kwa raha zenu.

Wapendwa. Tujihadhari sana tuingiapo gesti na vimada. Kuna gesti Dar zina cctv. Ukiingia tu na kuanza mchezo wako mhudumu anawaita rafiki zake wakuone unavyofanya huku wakikurekodi. Inasikitisha sana kuona wengi tuliowashuhudia kwenye hizi cctv wanafanya mambo ya ajabu sana. Kulambana sehemu za siri za mwanamke na mwanamme. Kinyume na maumbile ndio karibu kila wawili hufanya na mengine mengi machafu
 
Baadhi ya Wafanyakazi watukutu wanafanya hili Mkuu hata nchi za nje kisha kuweka kwenye mitandao yao na hata wenye nyumba za kupangisha lakini wakigundulika kibano chake lupango si mchezo.

Ktk ma hotel ya nchi nilizotembelea nimeona camera kwenye corridors, gate, garden na maeneo mengine. Chumbani No.
 
Back
Top Bottom